BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,165
Hahahahahaha lol! Nadhani watu wametumbua mimacho WHAAAAAAAAT!?
Mi naishi Buza siku zote.
Mambo ya USA ni swagga tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi naishi Buza siku zote.
Mambo ya USA ni swagga tu.
Hahahahahaha lol! Nadhani watu wametumbua mimacho WHAAAAAAAAT!?
Mkuu NN hiyo mbuzi au Ng'ombe?
Mbuzi poa sana dah ngoja niangalie ustaarabu usafiri.
Naona watu wengi safari hii wamepania safari za Bongo.
Ukipiga hiyo unafanya ile twaita "flashing down" na bilauri mbili au tatu za Bells basi kila kitu sawa.
Aisee wanatoza kiasi gani kwa sahani moja ya mishikaki nasikia jamaa atoza kisawasaw?
Mkuu NN hiyo mbuzi au Ng'ombe?
Mbuzi poa sana dah ngoja niangalie ustaarabu usafiri.
Naona watu wengi safari hii wamepania safari za Bongo.
Ukipiga hiyo unafanya ile twaita "flashing down" na bilauri mbili au tatu za Bells basi kila kitu sawa.
Aisee wanatoza kiasi gani kwa sahani moja ya mishikaki nasikia jamaa atoza kisawasaw?
Mshikaki mmoja hapa Samaki Samaki ni elfu 5.
lol! Mkuu bila shaka udenda unakuchuruzika wewe mpaka umeulizia bei ya sahani lol 🙂🙂
Hiyo poa sana.
Mimi ntakuja kwanza mwenyewe halafu ndio ntapanga kuchafua meza na washkaji.
Ila NN we mjanja sana, eti unaishi Buza.
Yaani zile bbQ za Ughaibuni hazifiki dau la hizo zinazoonekana hapo.
Hizo nyama ni safi sana kwenda na spirits.
Si unafahamu zinavunjavunja.
Sasa unacheka nini?,nenda kwa USA baby ukatingishe ZE bunyoz na kuitetemesha baada ya kuijaza mishikaki na bia.
Ina maana wewe hukusoma humu,alipojieleza kwangu? kuwa tayari yeye ne wewe mmeishalengeshana?,basi wewe inaonekana unamkimbia na kuna kitu hukipendi kwake bhana.
Tukienda pamoja hatutofika huko kwenye mishikaki,yaani kona ya kwanza utakuwa unakula koni na kushikishwa bonete nakupakua,ningependa uje hujavaa chupi.Tunaweza kwenda pamoja,jiandae
Ulipokuwa unabana pua na kuandika oooh tumelengeshana,sasa hayo ya pilipili nisioila yanatoka wapi?,au ulikuwa unamwandikia shetani asome,halafu unaniambia ooooh unaamini kila niandikacho humu,kwa hiyo ulikuwa unajilengesha kwa Nyani huku yeye amekupuuza?Unaamini kila niandikacho humu ?pilipili usiyoila yakuwashia ninii
aah wapi,hebu mtaje kibosile mmoja wa hapo somanda kwa nyakati zile ndo nitajua kweliSomanda ndo nyumbani...
haaaa ninacheka kwa dharauuuuuuuu🙂🙂🙂🙂🙂 kumbe ata samaki itakuwa swaga tu watu wafunge safari bure;
Ha haha ... Dasalam hii broUnaishi buza kule karibu na kitunda unakuja kula mishkaki samakisamaki
Mbona mbali sana mkuu[emoji12]
Unashangaa me nshaenda Mwanza kisa mpenzHa haha ... Dasalam hii bro