Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,256
- 16,317
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]Mi naishi Buza siku zote.
Mambo ya USA ni swagga tu.
Leo utakuwa wapi Mkuu tuchafue meza
Ulipokuwa unabana pua na kuandika oooh tumelengeshana,sasa hayo ya pilipili nisioila yanatoka wapi?,au ulikuwa unamwandikia shetani asome,halafu unaniambia ooooh unaamini kila niandikacho humu,kwa hiyo ulikuwa unajilengesha kwa Nyani huku yeye amekupuuza?
Mimi sikupuuzi mpaka nikusuuze.Haya nawe nipuuze basi mpenzi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ngoja watakuja mkuu umetoka lini USA?
Mimi sikupuuzi mpaka nikusuuze.
Haya baby weka namba ya simu basi kule PM,nakuijia nakupeleka Kempisky ukachanue kama maua halAfu nakuvalisha engagement ring darling S.W.A.K(SEE YOU WITH A KISS).Oooh haya basi ushakuja Dar
Sio migato mkuu au luguru!Mi najua anatokea Gangabilili, wilaya mpya ya Itilima
[emoji38][emoji38][emoji38]
Somanda ndo nyumbani...
Sijakuona my dia uko poa
Leo utakuwa wapi Mkuu tuchafue meza
aah wapi,hebu mtaje kibosile mmoja wa hapo somanda kwa nyakati zile ndo nitajua kweli
nilikuwa mteja pekee wa library ya padri Gapa,alikuwa akinikuta peke yangu na muhudumu,anashangaa kweli katoto kadogo kanasoma enclopedia ,time ,newsweek magazine,Kibosile wa sehemu ipi? Hospitali au kanisa?
Padri Gappa unamjua wewe? Father Kushoka? Rev. Kizito je?
Au nikutajie watu wa pale mahakama ya mwanzo?
nilikuwa mteja pekee wa library ya padri Gapa,alikuwa akinikuta peke yangu na muhudumu,anashangaa kweli katoto kadogo kanasoma enclopedia ,time ,newsweek magazine,
ha ha ha,we kweli wasomanda na yawezekana nakufahamu
hhhahhhaaaa!!!usuuze nnnn?!!!Mimi sikupuuzi mpaka nikusuuze.