Njoo Samaki Samaki

Njoo Samaki Samaki

wacheni uchwara basi kina mwafulani wanajipodoa wawahi offer samaki samaki
 
Nilijua hiz tabia ni za Le Mutuz tu, kumbe ni wabeba boks wote wanapenda kujisifia kwa mambo ya kipuuz puuz!!! Kwel uanaume ni zaidi ya kuwa na ndevu!!

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Ulipokuwa unabana pua na kuandika oooh tumelengeshana,sasa hayo ya pilipili nisioila yanatoka wapi?,au ulikuwa unamwandikia shetani asome,halafu unaniambia ooooh unaamini kila niandikacho humu,kwa hiyo ulikuwa unajilengesha kwa Nyani huku yeye amekupuuza?

Haya nawe nipuuze basi mpenzi
 
aah wapi,hebu mtaje kibosile mmoja wa hapo somanda kwa nyakati zile ndo nitajua kweli

Kibosile wa sehemu ipi? Hospitali au kanisa?

Padri Gappa unamjua wewe? Father Kushoka? Rev. Kizito je?

Au nikutajie watu wa pale mahakama ya mwanzo?
 
Kibosile wa sehemu ipi? Hospitali au kanisa?

Padri Gappa unamjua wewe? Father Kushoka? Rev. Kizito je?

Au nikutajie watu wa pale mahakama ya mwanzo?
nilikuwa mteja pekee wa library ya padri Gapa,alikuwa akinikuta peke yangu na muhudumu,anashangaa kweli katoto kadogo kanasoma enclopedia ,time ,newsweek magazine,

ha ha ha,we kweli wasomanda na yawezekana nakufahamu
 
Ulidhani natania eeh...?

Uliwahi kushiriki kwenye ile kampeni yake ya uapandaji miti?
 
Back
Top Bottom