Njoo Tuambiane Kijiji Chetu Tulichotoka

Ila nimekuja kugundua watu wa kanda ya ziwa A.K.A chata ya ngo'mbe wasukuma ni wengi sana humu Jf
 
Sioni wa kutoka Dareda najihisi niko peke yangu humu
 
thongoa...ila napendelea sana kwenda heiria la kwa mborboji na sometime tukitoka pale tunashuka thome... nadhani tuliopo huku tutakuwa tunajuana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…