Malangali ipo mufindi iringa na mlangali ipo mbozi songweMkuu mlangali na malangali huwa vinanichanganya.
Na WAISELEMAGAZI wapo[emoji15] kweli JF imetanukaiselamagazi
Na WAISELEMAGAZI wapo[emoji15] kweli JF imetanukaiselamagazi
Bila shaka unmilki makinikiaNyamakwenke, karibu na Nyalugusu, kama unatokea Nyaluyeye, kwenye kona ya Nyangarata...[emoji20] [emoji20] [emoji20]
Aiseee! Kumpitimbi. Hinu ngati wakona kwenuko, bwela kumbwani na Mayau ga chimbwinya.Mpitimbi na Furushi la Magimbi
Mwamhaya, Nyasamba, ILULA, Ighunghuhya, Lunere, Buyogo, ILUNGHU, Ng'wanza ya madaso.Karibu unywe soda Nkondo A barHungumalwa
Tunduru, nilishalala hapo Siku 2 nikitokea machimboni kule MTO MTETESI, NK