Njoo Tuambiane Kijiji Chetu Tulichotoka

Njoo Tuambiane Kijiji Chetu Tulichotoka

Kuna mtu anataftwa apa

Sent using Jamii Forums mobile app
Mawazo yako yanaweza yakawa sahihi au la.Kama mtu ni mwema haina haja yakuogopa ogopa pia sio kwamba kila tarifa anayoandika MTU ni sahihi.Kuna ile yakuandika mahali sababu anapafaham au ameshawahi kupasikia kwa namna moja ama nyingine lakini sio kwao wala hajawi ata kufika.
 
Kuna mtu anataftwa apa

Sent using Jamii Forums mobile app

WEWE UNAJIONA UMEJIFICHA EENHH!!![emoji3]SAA HII NAWEZA NIKAZAMA KTK AKAUNT YAKO NA KUIDUKUA.NTAKUPATA HATA UKIWA CHINI YA UVUNGU[emoji3]
Huu uzi ni kujuana tu na kuongeza ushirikiano pamoja.sio lazima mtu ataje alipo kwa sasa.kwa mfano mimi nimzaliwa wa kijiji cha Salawe lkn kwa sasa nipo nje ya nchi,
HAIMAANISHI USEME HAPO ULIPO NA VILE VILE HATA UKISEMA SIO MBAYA..
Mkuu wewe hujiamini ndio maana unajishtukia shtukia.[emoji3]
 
Kitangili-Nzega!

Sent by Nokia E5 using Jamii Forums mobile app
 
Mbila-Nzega!

Salaweeeee njia ya short cut naipendaga sana kutoka Kahama kwenda mwanza via mwakitolio shida haina lami tu.
Ila fupi sana kuliko shinyanga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom