Njoo Tuambiane Kijiji Chetu Tulichotoka

Njoo Tuambiane Kijiji Chetu Tulichotoka

Welamasonga ya kupita isangijo magu?
Au hata ukipita kisesa ukaenda kitumba unatimba welamasonga saafiiii....
Kulikuwaga na waharifu wakata mapanga wakati Fulani serikali ikafanya ufuatiliaji


Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ni Welamasonga ya Kwimba yaani ipo pale pale jirani na Ngudu mjini, of course na Magu kuna Welamasonga pia
 
Back
Top Bottom