stickvibration
JF-Expert Member
- Feb 7, 2017
- 3,226
- 5,147
- Thread starter
- #381
Mkuu mbona unajishtukia sana mkuu
Au we chokoraa hujui hata ulipozaliwa[emoji3]
PAMBANA NA HALI YAKO
Siku zote mchawi hua anajificha[emoji3]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mawazo yako yanaweza yakawa sahihi au la.Kama mtu ni mwema haina haja yakuogopa ogopa pia sio kwamba kila tarifa anayoandika MTU ni sahihi.Kuna ile yakuandika mahali sababu anapafaham au ameshawahi kupasikia kwa namna moja ama nyingine lakini sio kwao wala hajawi ata kufika.
Kuna Mlangali ipo LudewaMalangali ipo mufindi iringa na mlangali ipo mbozi songwe
Kiukweli mlangali zipo nyingi sanaPakawa said:Kuna Mlangali ipo Ludewa
Remmy ongala na matimila band walikuimbia wewe au jirani zako?Matimila
Salaweeeee njia ya short cut naipendaga sana kutoka Kahama kwenda mwanza via mwakitolio shida haina lami tu.WEWE UNAJIONA UMEJIFICHA EENHH!!![emoji3]SAA HII NAWEZA NIKAZAMA KTK AKAUNT YAKO NA KUIDUKUA.NTAKUPATA HATA UKIWA CHINI YA UVUNGU[emoji3]
Huu uzi ni kujuana tu na kuongeza ushirikiano pamoja.sio lazima mtu ataje alipo kwa sasa.kwa mfano mimi nimzaliwa wa kijiji cha Salawe lkn kwa sasa nipo nje ya nchi,
HAIMAANISHI USEME HAPO ULIPO NA VILE VILE HATA UKISEMA SIO MBAYA..
Mkuu wewe hujiamini ndio maana unajishtukia shtukia.[emoji3]
Mwamashimba ya kwimba au magu?Daah huko imanikumbushia Mwalujo nikielekea Mwamashimba