Njoo Tuambiane Kijiji Chetu Tulichotoka

Ngudulugulu jirani na Welamasonga
Nimepakumbuka ndugulugulu aisee kuna kisa kilinitokeaga wakati sijui kisukuma nikamsalimia Mzee Wa watu mwangaluka mayoo...alikasirika yule jamaa hadi akanipeleka kwa mwenyekiti hapo nilikuwa nimetoka kuiba maembe tulikuwa kama watu watano hivi tunafanya adventure pande za kwimba....
Mzee bujiku sakila akiwa naibu waziri enzi hizo ndipo mkewe mdogo alikuwa ndio mwenyeji wetu akaja kutusaidia ....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyachonga.......Ukitaka kufika..pitia Buhororo, Mayenzi, Kumtana au Ruganzo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…