Njoo Tuambiane Kijiji Chetu Tulichotoka

Mkuu nilinunua saana Zao LA Choroko huko

Sent from Calculator Phone vesion007
Nakumbuka maeneo ya Nyambiti aliyotaja chazy255 kama Kinoja ukienda Nkalalo unavuka upande wa kulia unakwenda mpaka Kadashi, Maligisu na kushoto unaingia Magu alafu ukitoka Nyambiti kuelekea kwenye unaibukia Mantale, Sumve mpaka Mwampulu
 
Maeneo yote hayo ndio nilikua nikikusanyia mzigo
Kadashi ndio nilikodi kabxaaa na godown

Sent from Calculator Phone vesion007
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…