miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,811
- 49,053
ha haha usijali lazima nije kunywa mbegeMmmmh
Haya bwana, ndo basi teeenaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ha haha usijali lazima nije kunywa mbegeMmmmh
Haya bwana, ndo basi teeenaaa
Ujue we ndo ulinikaririsha, sa Mambo za Mwanza tena nani atanipokea hukooo kwenu????ha haha usijali lazima nije kunywa mbege
duh kwa sababu bado kuna muda naweza kukupa kipaombele aisee .. karibu sana kotelaUjue we ndo ulinikaririsha, sa Mambo za Mwanza tena nani atanipokea hukooo kwenu????
Ewaaa...duh kwa sababu bado kuna muda naweza kukupa kipaombele aisee .. karibu sana kotela
karibu maeEwaaa...
Asante saana
Aika maeekaribu mae
...Wanaopimwa mkojo ni wahalifu?Kwa nini uwaogope TISS kama wewe sio mhalifu?
....NyamisatiKIBITI
Hiyo ni Shinyanga ndugu
JAH RASTAFARI MORNING AFRICA
Nakumbuka ukanda huo wa Nyamswa, mission aka Ikizu, Salama A, Mgeta, IsenyeNyamuswa,Ikizu wilaya ya Bunda
sent from kanyau
Nakumbuka maeneo ya Nyambiti aliyotaja chazy255 kama Kinoja ukienda Nkalalo unavuka upande wa kulia unakwenda mpaka Kadashi, Maligisu na kushoto unaingia Magu alafu ukitoka Nyambiti kuelekea kwenye unaibukia Mantale, Sumve mpaka MwampuluMkuu nilinunua saana Zao LA Choroko huko
Sent from Calculator Phone vesion007
Maeneo yote hayo ndio nilikua nikikusanyia mzigoNakumbuka maeneo ya Nyambiti aliyotaja chazy255 kama Kinoja ukienda Nkalalo unavuka upande wa kulia unakwenda mpaka Kadashi, Maligisu na kushoto unaingia Magu alafu ukitoka Nyambiti kuelekea kwenye unaibukia Mantale, Sumve mpaka Mwampulu
Kweli maisha ni mzunguuko, mie nimezunguuka sana mitaa hiyo na mishemisheMaeneo yote hayo ndio nilikua nikikusanyia mzigo
Kadashi ndio nilikodi kabxaaa na godown
Sent from Calculator Phone vesion007