kinyama nje
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 1,839
- 2,475
Me natoka bukorwa kijiji kashauziwa mzungu nakulipwa fidia kiduchu sasa niko utumwani huku
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Me natoka bukorwa kijiji kashauziwa mzungu nakulipwa fidia kiduchu sasa niko utumwani huku
Pole sana MkuuMe natoka bukorwa kijiji kashauziwa mzungu nakulipwa fidia kiduchu sasa niko utumwani huku
Sent using Jamii Forums mobile app
Umenikumbusha Mbasa.Mbelele nkMkili
Inaonekana amekupeleka na kukumbusha mbaali sana huyoWaaaahooooo!!!
ACHA nikae KIMYA...!
Watamu sana hao ssmaki ila mbelele ukiwala sana lazima uwe karibu na.....Umenikumbusha Mbasa.Mbelele nk
Jaman mie natoke Kijiji cha wari karibu kabisa na Kijiji cha uduru mtaa wa mwera
Sent using Jamii Forums mobile app
wa marehemu mzee Madalali? Ulikua unampataGeita......
Sehemu gani matankini au