Njoo Tuambiane Kijiji Chetu Tulichotoka

Natoa shukrani kubwa kwa mleta UZI huu...kutokana na kukutana na rafki yangu mpendwa tuliezaliwa nae kijiji kimoja cha Msalala,kwa kupitia thread hii..
Tulipotezana takriban miaka minane..Leo mwenzangu kumbe yupo ujerumani..hatimae tuli PM na kupeana namba kila moja wetu,,na hakua na namba yoyote ya fmly yake..lkn baada ya Mimi kuwasiliana nae nilimpatia namba zote za fmly yake..
Mara ya kwanza anaongea na mama yake mzazi wote walikua wakilia kwa machungu.
Mungu akubariki sana mleta huu Uzi.
Kweli hakuna mabaya wala LA madhambi Mbele ya Bwana na Kwa JINA LA YESU
AMEEEN!!!

Sent from Calculator Phone vesion007
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…