Njoo Tuambiane Kijiji Chetu Tulichotoka

Nani wa Kibumaye, Kemakorere, Nyarero, Nyamwaga, keisangora, Kumwika, unachanja kuelekea Bungurere, kangariani, Ketawasi, Masurura unaelekea Gibaso hadi mto mara
Na masurura nimepafahamu.
 
Na masurura nimepafahamu.

tokea kiabakari kwenye ndizi, buzahya, sabasaba unashuka hadi kisamwene unaiacha busegwe mkono wa kulia unaingia kibubwa sasa unaitafuta masurura ukirudi hapa busegwe unashuka bonge la mteremko hadi butiama hapo mwitongo unakula kona kushoto unashuka hadi nyawaryoba wanapochimba dhahabu unaingia kiabakari madaraka unaenda mbele hadi kata mining maeneo ya kataryo unanyoka hadi suguti

asante kwa kusikiliza mwenye swali karibu
 
Napapata vzr maeneo hayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…