mnangagwa
JF-Expert Member
- Dec 3, 2017
- 992
- 1,461
Mwaka gani na shule ipi mkuu?Watu wapale ni wema sana, tulisoma pale baadae wakasema tumechoma shule
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwaka gani na shule ipi mkuu?Watu wapale ni wema sana, tulisoma pale baadae wakasema tumechoma shule
mkuu mimi ndo google map wa maeneo hayoNapapata vzr maeneo hayo.
Nzega moja
Imbaseni nsuriiMaji ya Chai- Meru, Arusha
Wee mwongo mamndenyiBaba Mama walishajiondokea sina nyumbani tena
Dah!!Pole sana!njoo nikufute chozi[emoji6]Baba Mama walishajiondokea sina nyumbani tena
Wewe Sinai? unamaanisha ukipita Likuyufusi si ndio?Wakunyumba..
Nakupata sanaNzega moja
Hahahah dah haya bhanamkuu mimi ndo google map wa maeneo hayo