Njoo Tuambiane Kijiji Chetu Tulichotoka

Njoo Tuambiane Kijiji Chetu Tulichotoka

Kabila,nyanguku,shishani,Mahaha,ng'wakumega,nkungulu,ng'haya,ng'wabulenga,Salama,ng'wangu,isolo,jinjimili, kabale,n'hobola,igombe.
MLIHO BANANDAGALUUUUU

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu natoka kwimba huko nilikuwa na safari ya baiskeli kwenda senani( mwabayanda) kuna njia ukitoka kinamweli unapita kabale kwenda bukingwaminzi, sasa nilipotea nikapitiliza kutoka kinamweli mpaka jinjimili nilisumbuka sana,
Nakumbuka nilipita vijiji kama bilishi, isaweda, bukingwaminzi, kabale, bukingwaminzi, ngeme, nkololo, mwashegeshi, nguliguli, bushashi na senani vingine nimesahau.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwingine anakuja na uzi wa aina hii..

"Watoto wa kwanza kuzaliwa katika familia tukutane hapa"

Mwingine atakuja hivi..

"Taja shule ya msingi uliyosoma"

"Tuliosoma UDSM tukutane hapa"

Unajikuta umetokeza kote na hatimaye hakuna maana ya jina bandia tena!
 
Back
Top Bottom