Kwanza hawatopigana ,Pili North bomb zake haziwezi kufika USA
North teknolojia yake ni ya miaka 1960s na 1970s ,USA ana defensive missiles nyingi sana tena zipo za kila aina ,Atakuwa tu south Korea jirani akiyapangua mabomu ya north ,Trump kama umemfuatilia alisema atamshinikiza China amcontrol north ,Yale meli na ndege ni kumtisha Kim aachane na program ya nucleur