njoo tuBET marekani vs North korea!

njoo tuBET marekani vs North korea!

Mimi naanza kuweka matokeo hapa!! North Korea send 3 nuclear boms to america and American sends 2boms to North Korea ..........so north Korea is a winner
 
alafu na nasikia north korea wakianza kurusha mabomu yao yatapitia ktk anga la Tanzania yani hapa naombea moja lifeli liangukie kwetu bukoba si unajua bhana sisi wahaya tunakutwa na majanga international kama vile earthquake sio kama dar es salaam Mara kipindu pindu yaani majanga local local mara xjui bashiteee aaaah
 
Kwanza hawatopigana ,Pili North bomb zake haziwezi kufika USA

North teknolojia yake ni ya miaka 1960s na 1970s ,USA ana defensive missiles nyingi sana tena zipo za kila aina ,Atakuwa tu south Korea jirani akiyapangua mabomu ya north ,Trump kama umemfuatilia alisema atamshinikiza China amcontrol north ,Yale meli na ndege ni kumtisha Kim aachane na program ya nucleur
 
Back
Top Bottom