Njoo tubeti kwenye zao la Mpunga

Njoo tubeti kwenye zao la Mpunga

Chinchiler

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2022
Posts
1,513
Reaction score
2,019
Wadau kwa sasa Geita wanavuna MPUNGA na bei ya gunia moja ni Tsh. 80,000/=

Sasa ipo hivi, mfano ukiweza kununua gunia 1 kwa bei ya Tsh. 80000 ukiutunza ndani mpaka mwezi wa 12 wakati wa sikukuu huu MPUNGA huwa unapanda bei mpaka Mara mbili yake, tuchukulie sahivi kg 1 ni sh 1500 na gunia lililotikiswa au la kubandua ukilikoboa linakuwa na kg65-70 inategemea jinsi ulivyopima.

Kwahiyo ukinunua gunia 1*80000=80000 unaweza kuuza gunia 1*150000=150000 faida unaipata Mara mbili. Kasoro au zaidi ya hapo, so ukiwa una mtaji mkubwa unapata pakubwa.

So kafursa kapo hivyo, karibuni sana.
 
Gunia la kutikisa ni 100k. (Mnekezi Chato).
 
Gunia linakua na debe ngapi
 
Kuna ile ya kukopesha pesa kwa wakulima kipindi Cha kilimo,msimu wa mavuno unalipwa gunia 1 kwa kila elfu 50 ya pesa uliyompa
 
Utalia kilio kibaya sana.

Alafu zinaweza zisitoke kilo 65. Zinaweza kutoka kilo 50. Pili mchele utaotoka unaweza kuwa umekatika
 
Hizo hesabu umepigaje, 1*150000, kwahiyo gunia moja linatoa kilo mia? au hizo hesabu umepiga kwa bei ya shilingi ngapi kwa kilo?
Wadau kwa sasa Geita wanavuna MPUNGA na bei ya gunia moja ni Tsh. 80,000/=

Sasa ipo hivi, mfano ukiweza kununua gunia 1 kwa bei ya Tsh. 80000 ukiutunza ndani mpaka mwezi wa 12 wakati wa sikukuu huu MPUNGA huwa unapanda bei mpaka Mara mbili yake, tuchukulie sahivi kg 1 ni sh 1500 na gunia lililotikiswa au la kubandua ukilikoboa linakuwa na kg65-70 inategemea jinsi ulivyopima.

Kwahiyo ukinunua gunia 1*80000=80000 unaweza kuuza gunia 1*150000=150000 faida unaipata Mara mbili. Kasoro au zaidi ya hapo, so ukiwa una mtaji mkubwa unapata pakubwa.

So kafursa kapo hivyo, karibuni sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu usiwe unakariri mifumo mipunga imekuwa mingi sana mwaka huu wa mavuno bei haiwezi kufika 90k
 
Hawa wengi wao ni wa biashara za kuhadithiwa hawapo field husika na isitoshe wanakariri mifumo km usemavyo, et mwezi may Geita Gunia elf 80 wakati tabora mwezi huohuo iliuzwa gunia elf 40, maana yake kuna wajanja walikuwa wananunua Tabora wanakwenda kuuza Geita. Biashara sio imagination bali ni real data kwa calculator sio story story tu Demand and supply ni mchawi Tosha.
 
Back
Top Bottom