Chinchiler
JF-Expert Member
- Jul 29, 2022
- 1,513
- 2,019
Wadau kwa sasa Geita wanavuna MPUNGA na bei ya gunia moja ni Tsh. 80,000/=
Sasa ipo hivi, mfano ukiweza kununua gunia 1 kwa bei ya Tsh. 80000 ukiutunza ndani mpaka mwezi wa 12 wakati wa sikukuu huu MPUNGA huwa unapanda bei mpaka Mara mbili yake, tuchukulie sahivi kg 1 ni sh 1500 na gunia lililotikiswa au la kubandua ukilikoboa linakuwa na kg65-70 inategemea jinsi ulivyopima.
Kwahiyo ukinunua gunia 1*80000=80000 unaweza kuuza gunia 1*150000=150000 faida unaipata Mara mbili. Kasoro au zaidi ya hapo, so ukiwa una mtaji mkubwa unapata pakubwa.
So kafursa kapo hivyo, karibuni sana.