Chinchiler
JF-Expert Member
- Jul 29, 2022
- 1,513
- 2,019
Gunia la kutikisa ni 100k. (Mnekezi Chato).Wadau kwa sasa Geita wanavuna MPUNGA na bei ya gunia moja ni Tsh. 80,000/=
Sasa ipo hivi, mfano ukiweza kununua gunia 1 kwa bei ya Tsh. 80000 ukiutunza ndani mpaka mwezi wa 12 wakati wa sikukuu huu MPUNGA huwa unapanda bei mpaka Mara mbili yake, tuchukulie sahivi kg 1 ni sh 1500 na gunia lililotikiswa au la kubandua ukilikoboa linakuwa na kg65-70 inategemea jinsi ulivyopima.
Kwahiyo ukinunua gunia 1*80000=80000 unaweza kuuza gunia 1*150000=150000 faida unaipata Mara mbili. Kasoro au zaidi ya hapo, so ukiwa una mtaji mkubwa unapata pakubwa.
So kafursa kapo hivyo, karibuni sana.
Hamuwezi kuuzaTunatoa huduma ya kuhifadhi mazao wakati unasubiri muda wa kuyauza
Yakifika elfu sitini bei yake halali unishtueMbarali tunauza 120k gunia 1...
Mwaka huu Mpunga hauwezi kushuka mpaka 60k,ukishuka sana utaishia 80k...Yakifika elfu sitini bei yake halali unishtue
Debe 6 au 10?Mbarali tunauza 120k gunia 1...
Wadau kwa sasa Geita wanavuna MPUNGA na bei ya gunia moja ni Tsh. 80,000/=
Sasa ipo hivi, mfano ukiweza kununua gunia 1 kwa bei ya Tsh. 80000 ukiutunza ndani mpaka mwezi wa 12 wakati wa sikukuu huu MPUNGA huwa unapanda bei mpaka Mara mbili yake, tuchukulie sahivi kg 1 ni sh 1500 na gunia lililotikiswa au la kubandua ukilikoboa linakuwa na kg65-70 inategemea jinsi ulivyopima.
Kwahiyo ukinunua gunia 1*80000=80000 unaweza kuuza gunia 1*150000=150000 faida unaipata Mara mbili. Kasoro au zaidi ya hapo, so ukiwa una mtaji mkubwa unapata pakubwa.
So kafursa kapo hivyo, karibuni sana.
Duuh sio mchezoMbarali tunauza 120k gunia 1...

Hawa wengi wao ni wa biashara za kuhadithiwa hawapo field husika na isitoshe wanakariri mifumo km usemavyo, et mwezi may Geita Gunia elf 80 wakati tabora mwezi huohuo iliuzwa gunia elf 40, maana yake kuna wajanja walikuwa wananunua Tabora wanakwenda kuuza Geita. Biashara sio imagination bali ni real data kwa calculator sio story story tu Demand and supply ni mchawi Tosha.Ndugu usiwe unakariri mifumo mipunga imekuwa mingi sana mwaka huu wa mavuno bei haiwezi kufika 90k