Mtu aliyezaliwa 20 june, 2000 hadi leo hii may, 2020 huyu mtu ana miaka 19.wewe ndio kilaza hta kujumlisha hujui. hebu fata maelezo ya hapo juu au nikupatie short course ya kujumlisha hta ya dakika 5?
😁😁 Dada taratibu atajinyonga huyu...maana Jf kuna watu wa level zote za Intelligence so sometimes unajaribu kujishusha kidogo ufanane na watu wa level fulani basi tu maisha yaendelee.
Fanya hvi chukua mwaka wko uliozaliwa halafu jumlisha na umri ulionao sasa utapata 2020. haijalishi umezaliwa mwaka gan na una umri gan watu wte jumla yke ni 2020. mfano 2000+20 = 2020 au 2001+19= 2020
hya lets go 😉
Hata mwakani, ukichukua umri wako, ukajumlisha na mwako uliozaliwa utapata mwaka wa mwakani.
Umemaliza kila kitu. Mleta uzi bila shaka atakuwa amekuelewa na atakuwa keshagundua kuwa wala siyo jiniazi kama alivyodhani [emoji16][emoji16][emoji16]Kupata umri wako wa sasa nilazima uwe umefanya hivi
Age =2020-birth year
Sasa hapohapo tena ichukue Age plus birth year Kwa ikitokea 2020 inakua maajabu wakati unakua unarudi pale pale
Kimahesabu mfano mtu wa 1995
2020-1995=25 sio ajabu
Halafu 25 +1995 = 2020 iwe ajabu?
Kwamba Engineer sielewi kitu ama ni rocket computations hizi? [emoji1][emoji1]
kwani akili ya hyo kwa avatar ikoje?