Njoo tucheze mchezo

Njoo tucheze mchezo

wewe ndio kilaza hta kujumlisha hujui. hebu fata maelezo ya hapo juu au nikupatie short course ya kujumlisha hta ya dakika 5?
Mtu aliyezaliwa 20 june, 2000 hadi leo hii may, 2020 huyu mtu ana miaka 19.
So ukijumlisha 2000+19=2019, so you are wrong my dear
 
Kupata umri wako wa sasa nilazima uwe umefanya hivi

Age =2020-birth year

Sasa hapohapo tena ichukue Age plus birth year Kwa ikitokea 2020 inakua maajabu wakati unakua unarudi pale pale

Kimahesabu mfano mtu wa 1995
2020-1995=25 sio ajabu
Halafu 25 +1995 = 2020 iwe ajabu?

Kwamba Engineer sielewi kitu ama ni rocket computations hizi? 😄😄
 
Wezio wamegundua Google, Facebook,Instagram.nk
Wewe hapo ndio ukaona umegundua kitu!

Utopolo 🚮🚮
 
Hata mwakani, ukichukua umri wako, ukajumlisha na mwako uliozaliwa utapata mwaka wa mwakani.
 
Fanya hvi chukua mwaka wko uliozaliwa halafu jumlisha na umri ulionao sasa utapata 2020. haijalishi umezaliwa mwaka gan na una umri gan watu wte jumla yke ni 2020. mfano 2000+20 = 2020 au 2001+19= 2020
hya lets go 😉

Ulichokiandika kiko wazi

Mwaka uliozaliwa+umri wa sasa lazima ije 2020
 
Hata mwakani, ukichukua umri wako, ukajumlisha na mwako uliozaliwa utapata mwaka wa mwakani.

Hata akirudi mwaka jana akachukua mwaka aliozaliwa akajumlisha na miaka aliyonayo mwaka jana jibu litakuja 2019 😂😂
 
tangu uwachungulie wazaz wakidinyana umekua kajinga kweli(jokes)
 
Kupata umri wako wa sasa nilazima uwe umefanya hivi

Age =2020-birth year

Sasa hapohapo tena ichukue Age plus birth year Kwa ikitokea 2020 inakua maajabu wakati unakua unarudi pale pale

Kimahesabu mfano mtu wa 1995
2020-1995=25 sio ajabu
Halafu 25 +1995 = 2020 iwe ajabu?

Kwamba Engineer sielewi kitu ama ni rocket computations hizi? [emoji1][emoji1]
Umemaliza kila kitu. Mleta uzi bila shaka atakuwa amekuelewa na atakuwa keshagundua kuwa wala siyo jiniazi kama alivyodhani [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom