Kaiche
Senior Member
- Jan 23, 2017
- 147
- 297
Wanajamvi, habari za muda huu na poleni na mihangaiko ya kutwa nzima.
Korosho ni zao linalolimwa zaidi mikoa ya Lindi na Mtwara na sasa ni kipindi rasmi cha msimu wa korosho.
Nahitaji Tajiri ambaye yupo tayari kununua korosho , kwa rejareja (kangomba ) kwa sababu nina uzoefu wa biashara hii na usimamizi wa zao la korosho. Kwa aliye tayari karibu sana, tuwasiliane Inbox.