Wewe uko wapi?Wanajamvi , Habari za muda huu na poleni na mihangaiko ya kutwa nzima .
Korosho ni zao linalolimwa zaidi mikoa ya Lindi na Mtwara , Na sasa ni kipindi rasmi cha msimu wa korosho.
Nahitaji Tajiri ambaye yupo tayari kununua korosho , kwa rejareja (kangomba ) kwa sababu nina uzoefu wa biashara hii na usimamizi wa zao la korosho .
Kwa aliye tayari karibu sana tuwasiliane Inbox
Mimi nipo newala vipi huko masasi ni bei gani kangomba?Masasi
Kiukweli mkuu bado korosho zinalipa tu kwa mfumo wa kangomba ila inahitaji uwe na msuli wa pesa fikiria mfano umenunua korosho kilo 5000 kwa mchanganuo wa shiling 1300 kwa kangomba ambapo hapo inajumuisha na kijana anaekununulia ambapo yeye anachukua shiling 100 kwa kila kilo ndipo inakalia hiyo 1300... kwa hiyo ukiwa na mtaji wa kununua kilo 5000 kwa thamani ya shiling 6,500,000/= ambapo hapo imejumuisha kila kitu na ukipeleka ghalani hata ukipata faida ya kila kilo shiling 250 sio mbaya kwasababu itakuwa kilo 5000×250=1,250,000 faida....sasa tuwe tu wakweli kwa mtaji wa 6500000 uzalishe faida ya 1250000 tena ndani ya wiki 2 tu unaona ni kitu kidogo?Ni biashara nzuri Kwa mtazamo wangu pia, iliwahi kunipa hela nzuri miaka ya 2016 hadi 2017
Risk ya biashara hiyo miaka hii ni bei kutokuwa stable
Unaweza ukanunua Kangomba shilingi 1,200 halafu ukaja kuuza kwenye Vyama vya msingi Kwa shilingi 1,750 ukajikuta unapata Faida ndogo ya shilingi 250 hadi 350 ukiondoa running cost
Wakati miaka ya zamani ilikuwa unapata Faida mara mbili ama mara tatu ya bei unayonunulia
Ni kweli inalipa lakini sio kama miaka 5 iliyopita ambapo Faida ilikuwa almost pasu pasuKiukweli mkuu bado korosho zinalipa tu kwa mfumo wa kangomba ila inahitaji uwe na msuli wa pesa fikiria mfano umenunua korosho kilo 5000 kwa mchanganuo wa shiling 1300 kwa kangomba ambapo hapo inajumuisha na kijana anaekununulia ambapo yeye anachukua shiling 100 kwa kila kilo ndipo inakalia hiyo 1300... kwa hiyo ukiwa na mtaji wa kununua kilo 5000 kwa thamani ya shiling 6,500,000/= ambapo hapo imejumuisha kila kitu na ukipeleka ghalani hata ukipata faida ya kila kilo shiling 250 sio mbaya kwasababu itakuwa kilo 5000×250=1,250,000 faida....sasa tuwe tu wakweli kwa mtaji wa 6500000 uzalishe faida ya 1250000 tena ndani ya wiki 2 tu unaona ni kitu kidogo?
Ni kweli unavyosema ila ndio hivyo mambo kwasasa yamebadilika mkuu....nakumbuka nilivyokasigana na hela ule msimu wa 2015-2016 kuna shemeji yangu yupo Mozambique alinishauri sana tukavushe korosho kule ilikuwa shiling 900 mpaka zinatua huku kwetu nikachomoa lile dili .,ila nikamchomekea mshkaji wetu mmoja ni mpemba jamaa akapeleka milion 30 aisee chuma kimekuja kujibu alilipwa 3900 kwa kilo aisee iliniuma sanaNi kweli inalipa lakini sio kama miaka 5 iliyopita ambapo Faida ilikuwa almost pasu pasu
Mfano kama umenunua Kangomba ya milioni 6.5 ilikuwa unapata Faida ya 7M ama 6M
Ni biashara nzuri sana ukiwa na Mtaji pia bei ikiwa nzuriNi kweli unavyosema ila ndio hivyo mambo kwasasa yamebadilika mkuu....nakumbuka nilivyokasigana na hela ule msimu wa 2015-2016 kuna shemeji yangu yupo Mozambique alinishauri sana tukavushe korosho kule ilikuwa shiling 900 mpaka zinatua huku kwetu nikachomoa lile dili .,ila nikamchomekea mshkaji wetu mmoja ni mpemba jamaa akapeleka milion 30 aisee chuma kimekuja kujibu alilipwa 3900 kwa kilo aisee iliniuma sana
Juzi kati nilikuwa tandahimba karibu na vijiji vilivyo karibu na mto ruvuma kule chomachoma ni 1200 na korosho ni nyingi balaa tani 2 unapata ndani ya siku 3 tuNi biashara nzuri sana ukiwa na Mtaji pia bei ikiwa nzuri
Kwasasa wanauza kilo hadi 1,880 stakabadhi ghalani 🙌
Stakabadhi gjalani vipi ? Utakamatwa ulanguzi au??Wanajamvi , Habari za muda huu na poleni na mihangaiko ya kutwa nzima .
Korosho ni zao linalolimwa zaidi mikoa ya Lindi na Mtwara , Na sasa ni kipindi rasmi cha msimu wa korosho.
Nahitaji Tajiri ambaye yupo tayari kununua korosho , kwa rejareja (kangomba ) kwa sababu nina uzoefu wa biashara hii na usimamizi wa zao la korosho .
Kwa aliye tayari karibu sana tuwasiliane Inbox
Hapana mkuu mwaka huu korosho inapesa niamini nakuambiaPia usisahau kuwatahadharisha wanaweza kununua kg 1200 mnada wa kwanza TANECU ukasoma 1100 😁
Kiukweli mkuu bado korosho zinalipa tu kwa mfumo wa kangomba ila inahitaji uwe na msuli wa pesa fikiria mfano umenunua korosho kilo 5000 kwa mchanganuo wa shiling 1300 kwa kangomba ambapo hapo inajumuisha na kijana anaekununulia ambapo yeye anachukua shiling 100 kwa kila kilo ndipo inakalia hiyo 1300... kwa hiyo ukiwa na mtaji wa kununua kilo 5000 kwa thamani ya shiling 6,500,000/= ambapo hapo imejumuisha kila kitu na ukipeleka ghalani hata ukipata faida ya kila kilo shiling 250 sio mbaya kwasababu itakuwa kilo 5000×250=1,250,000 faida....sasa tuwe tu wakweli kwa mtaji wa 6500000 uzalishe faida ya 1250000 tena ndani ya wiki 2 tu unaona ni kitu kidogo?
Wanajamvi , Habari za muda huu na poleni na mihangaiko ya kutwa nzima .
Korosho ni zao linalolimwa zaidi mikoa ya Lindi na Mtwara , Na sasa ni kipindi rasmi cha msimu wa korosho.
Nahitaji Tajiri ambaye yupo tayari kununua korosho , kwa rejareja (kangomba ) kwa sababu nina uzoefu wa biashara hii na usimamizi wa zao la korosho .
Kwa aliye tayari karibu sana tuwasiliane Inbox
[/QUOTOdds 1.19 ukizidisha kwa tsh 6,500,000/= ndani ya dk 90 unampa Yanga, na team yoyote unayoiamini ww barani Africa, kokotoa mwenyewe utajua unaingiza bei gani kwa saa 1 na nusa tu, alafu uanze kutembea na M 6.5 kwenye bag huko maporini na kipindi hiki walichojipenyeza chinjachinja waporaji kupitia mwamvuli wa Siasa kwa umechoka kuishi mkuu?Kiukweli mkuu bado korosho zinalipa tu kwa mfumo wa kangomba ila inahitaji uwe na msuli wa pesa fikiria mfano umenunua korosho kilo 5000 kwa mchanganuo wa shiling 1300 kwa kangomba ambapo hapo inajumuisha na kijana anaekununulia ambapo yeye anachukua shiling 100 kwa kila kilo ndipo inakalia hiyo 1300... kwa hiyo ukiwa na mtaji wa kununua kilo 5000 kwa thamani ya shiling 6,500,000/= ambapo hapo imejumuisha kila kitu na ukipeleka ghalani hata ukipata faida ya kila kilo shiling 250 sio mbaya kwasababu itakuwa kilo 5000×250=1,250,000 faida....sasa tuwe tu wakweli kwa mtaji wa 6500000 uzalishe faida ya 1250000 tena ndani ya wiki 2 tu unaona ni kitu kidogo?
Unauzaje mkuu nicheki tuongeeWanajamvi , Habari za muda huu na poleni na mihangaiko ya kutwa nzima .
Korosho ni zao linalolimwa zaidi mikoa ya Lindi na Mtwara , Na sasa ni kipindi rasmi cha msimu wa korosho.
Nahitaji Tajiri ambaye yupo tayari kununua korosho , kwa rejareja (kangomba ) kwa sababu nina uzoefu wa biashara hii na usimamizi wa zao la korosho .
Kwa aliye tayari karibu sana tuwasiliane Inbox
Hapana mkuu mwaka huu korosho inapesa niamini nakuambia
Nishakucheki pmMkuu hebu fanya kuni pm maana kwangu inagoma inadai umefunga pm
Shida vyama havilipi on time mkuuuKiukweli mkuu bado korosho zinalipa tu kwa mfumo wa kangomba ila inahitaji uwe na msuli wa pesa fikiria mfano umenunua korosho kilo 5000 kwa mchanganuo wa shiling 1300 kwa kangomba ambapo hapo inajumuisha na kijana anaekununulia ambapo yeye anachukua shiling 100 kwa kila kilo ndipo inakalia hiyo 1300... kwa hiyo ukiwa na mtaji wa kununua kilo 5000 kwa thamani ya shiling 6,500,000/= ambapo hapo imejumuisha kila kitu na ukipeleka ghalani hata ukipata faida ya kila kilo shiling 250 sio mbaya kwasababu itakuwa kilo 5000×250=1,250,000 faida....sasa tuwe tu wakweli kwa mtaji wa 6500000 uzalishe faida ya 1250000 tena ndani ya wiki 2 tu unaona ni kitu kidogo?