Njoo tufanye biashara ya kununua korosho

Huu sasa ndio wakati sahihi wa kufanya hii biashara, unafanya kwa uhakika sio kubeti
 
Betting ukisikia mkeka umetiki ndo mwaka huu watu wamewka ml 10 wanakuja kuvuna ml 28
 
Ilikuwa ni lazima mwaka huu bei ichangamke maana mwaka ujao kuna uchaguzi, ata kwenye ufuta bei zilipanda sana kwa mwaka huu. Kwahiyo hapo hakuna jipya ni siasa za ccm tu.

Tulio soma nyakati tulipiga pesa kwenye ufuta na saizi tunapiga pesa kwenye korosho.
Werawera[emoji122][emoji122][emoji122] nilieleza humu kuwa korosho zina pesa mno mwaka huu
 
Mkuu nimekukubali,, salute kwako

Umejua kunusa harufu ya pesa mapema,, 'dhahabu nyeupe' imeitikika
Mambo ya pesa hayahitaji uoga kaka ni kujilipua tu ukiwasilikiliza watoto wa humu ambao kila kitu wanakijua huku wakiwa nyuma ya keyboard lazima ufeli....kuna kichaa kanunua korosho vijiji vya msumbiji kwa shiling 900 kwa kangomba na akazivusha kuleta TZ yeye kanunua tani 23 na chuma kimejibu hiyo bei ya elfu 4
 
Ufuta mbona tangu 2022 una pesa tu bei zinacheza tu hivyohivyo ? Mkuu unataka kuniambia kuwa CCM wana shida ya kuchaguliwa au wanajitangaza tu wenyewe?na ukizingatia upinzani dhaifu uliopo nchini sioni kama hawa wahuni CCM wana hofu yeyote ile
 
Ufuta mbona tangu 2022 una pesa tu bei zinacheza tu hivyohivyo ? Mkuu unataka kuniambia kuwa CCM wana shida ya kuchaguliwa au wanajitangaza tu wenyewe?na ukizingatia upinzani dhaifu uliopo nchini sioni kama hawa wahuni CCM wana hofu yeyote ile
walio dhaifu ni wananchi wenyewe sio upinzani mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…