Guru Master
JF-Expert Member
- Jan 14, 2017
- 226
- 594
Wadau. Mimi nimepambana nmeweza kufungua Kampuni ambayo itakuwa inajihusisha na Usafi wa Maofisini, Vyoo vya Public, Kwenye Viwanda na Majumbani.
Kampuni tayari
1. Inatambulika Brela
2. Ina TIN Number (TRA)
3. Ina Leseni ya Biashara
4. Ofisi nimeanzia hapa hapa home kwanza.
Sasa kama unadhani wewe ni potential una uwezo wa kutafuta tender tukapata. Tayari hesabu kuwa tunaelekea kutajirika au kupata pesa pamoja.la msingi tutakuwa na makubaliano ambayo yatatuongoza na yenye manufaa kwetu sote.
Kama utakuwa umejitoa zaidi kupambana nipo tayari kukupa sehemu ya share za Kampuni ukawa sehemu ya Mmiliki. La msingi ni kwamba uje na mawazo jengefu na ubunifu. Tunaweza songa mbele pamoja.
Kwa sasa nipo peke yangu napambana. So nakaribisha kila ambaye anadhani atakuwa na jambo ambalo tunaweza share. Pia atapata nafasi ya kusoma shughuli nyingine za Kampuni na kuzielewa mbali na nilizo taja.
Tusikae kulalamika tu kuhusu ajira tushikane mikono tufanye kitu pamoja. Kila jambo tutalifanya kwa utaratibu rasmi kabisa.
Karibu private/pm/inbox tuweze shauriana.