Njoo tufundishane jinsi ya kutongoza. Swaga za hatari za kum-win msichana

Njoo tufundishane jinsi ya kutongoza. Swaga za hatari za kum-win msichana

renamaizo

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2014
Posts
2,136
Reaction score
3,081
Habari wana JamiiForms A.K.A Great thinkers nawakubali hatar kuna watu humu wana nondo si za nchi hii sasa leo nimeleta mzigo tu discuss kwa kina ili kila mtu apate swaga za kuchomekea pale anapokutana na mwanamke asiyemfahamu for first time achilia mbali zile habari za kula tunda kimasihara maana asilimia kubwa ya wanawake wanaotoa tunda kimasihara ni malaya japo sio wote apa tunazungumzia real girls na sio machangudoa wale wa unashingapi au kipoch manyoya

Twende moja kwa moja kwenye mada kutongoza ni bahat lkn vile vile kutongoza ni kipaji na mpangilio wa maneno ili muhusika akuelewe nasema kutongoza ni bahat kwa sababu waweza kutana na msichana ukamwingia vzr lakin akakutolea nje licha ya kwamba uli flow vzr kabisa lkn nasema kutongoza pia ni kapaji kwa sababu unaweza kutana na mwanamke hakuelewi kabisa lkn kwa strategy za sound na mpangilio wa maneno au swaga akakuelewa vibaya mno

Tuanze kwanza na sheria za kutongoza au tuseme kanuni
1.uwe msafi na uhakikishe unaonekana nadhifu
2.tumia pleasing sound au tuseme sauti km ya kubembeleza wazungu wanaita whispers
3.epuka mada ndefu ambazo zaweza kumchosha mwanamke anaekusikiliza
4.tumia bridges wakati wa maongez hv ni vi mistar ambavyo vinakupa mwanya wa kupumzika ili kuleta wazo kuu mfano wa bridge ni km vile maswal madogo madogo eg hv ww unaish wap ? Hv ww ni mkristo au muislam ? Nk wajuzi wataongezea maswal mazuri ya kunuuliza demu
5.kuwa confidense onyesha kujiamin unapoongea na msichana hii itamfanya hata yy kukuingia zaid usiwe over confidense kujiamin kupitiliza utasababisha akuogope na wala usiwe under confidence kwa sababu utasababisha na msichana asiwe confortable pia

Sasa twende moja kwa moja kwenye mistari ya kumpa mtoto ili akusome vzr siwezi kuipanga ktk order maana inategemea na yy jins atavyo jibu

1.samahani dada mambo (salamu muhinu ) au km wako wawili au watatu wasalimie wote

2.km wapo wawili au watatu waambie samahan nilikuwa na shida na huyu kuna kitu nahitaji niongee nae hakikisha mnasogea pemben kidogo usikae hapo hapo utashindwa kushuka vina

3.apa muulize swali lolote la kijinga iwe km bridge mfano samahan hv umewah kusoma shule fulani . Samahan hv unaish sehenu fulan nk wajuzi watatupa baadh ya bridge nzur ambazo zitasababisha msichana atege sikio kukusikiliza

4.km amesema hapana ktk maswali ya apo juu we jifanye umemfananisha ila elezwa shida yako
Mfano OK nimekufananisha ila nilipenda kukufahamu kuna vitu ving nilitaman tuongee ila sina nafasi naomba unisaisie namba yako . Au samaham nimekuuliza tu Ili nipate attention yako tu lkn nilivokuona nilipenda kukufahamu sorry unaweza kunisaidia namba yako . Nk wajuzi mtaongezea

4.km amekunyima namba ya simu mwambie hv mfano si amekujibu sina simu mwambie yafuatayo
Mm nimekuomba namba ili kuna kitu nataka tuongee sina nia ya kukusumbua . Najua utaki kunipa ila mm kuna kitu nataka tuongee sikusunbui nk wajuzi wajuzi wataongezea

5.km amekupa namba ya simu apo apo nuulize eg samahan hv unaitwa nan ? Au samahan muda wote tunaongea cjakuuliza jina unaitwa nan nk wajuzi wataongwzea

Hzo ni hatua za mwanzo tu sasa mwisho inabid ufanye yafuatayo

(Kuaga) mfano bye ntakuchek baadae . Kwaher nikiwa online ntakuchek nk wajuz wataongezea

(Kymsifia) nfano unaonekana wa tofauti sn yy atajibu nikoje au kwann we mjibu kimo na umbo lako ni la kupendeza au ni la kuvutia tumia lugha nzur unapomsifia mwanamke usitumie lugha ya matusi mfano eti una makalio makubwa ndugu usijeukashushiwa mvua ya matusi tumia lugha nzur

(Hitimisho ) msifie kwanza afu kisha mwambie kiukwel nimekupenda kwa jinsi ulivyo

Mistar ya kuongezea ili muende in deep ktk maongezi

Hv unatumia whatsapp. Hii namba ulionipa ipo whatsapp. Unaishi mwenyewe au unaish na wazazi ? Unasoma ? Unafanya kaz wap ? Nk jaribu kupangilia aya maswal ili yaonekane kama maongez na ai maswal ukimpiga miswali mfululizo lazima akutolee nje utasikia kaka sitak maswal . Saut nzur pia huchangia mwanamke kuona km ni maongez na aio maswal epuka saut za kupayuka eti we dada unakaa unakaa wap unaongea tena kwa nguvu baba lazima akujibu dharau au akukimbie sauti kitu muhimu sana

NAKARIBISHA MAWAZO NA MISTAR MIKAL IKIWEMO BRIDGES MASWAL MAZUR YA KUONGEA NA MWANAMKE MNAPOKUTANA FIRST TIME
 
Hivi siku hizi mambo bado zipo kweli au mi ndo nipo nyuma😀😀😀😀??

Siku hizi ni mambo za maelekezo mbili tu, story zimeisha...
 
Kuna watu wamesoma huu uzi wote..😅

Kweli makomamanga yapo mengi.. kumbe kutongoza ndo kurefu hivyo! Nishajua nakosea wapi na nimeamua nitafute hela tu haya mengine yatakuja yenyewe kuliko kuhangaika hivyo asee..
 
Kuna watu wamesoma huu uzi wote..😅

Kweli makomamanga yapo mengi.. kumbe kutongoza ndo kurefu hivyo! Nishajua nakosea wapi na nimeamua nitafute hela tu haya mengine yatakuja yenyewe kuliko kuhangaika hivyo asee..
Ujawah kuona tajir anamiliki demu kapuku lkn masikin anaish kwenye nyumba za kupanga choo kichafu lkn ana milik demu mkal bahat hainunuliw japo pesa naipa heshima yake
 
Mapenzi sio swaga, jishughulishe kuisaka shilingi.../

Demu anataka baga, we unamletea michosho ya kipimbi?../

Mwisho atakubwaga, akajiongeze kwa midingi.../
Nyiny ndo wale mnahongahonga afu baadae mnakuja kulia humu ooh !! Wanawake ngurue wana tamaa balaa utampa kila kitu ila akikosa nyama ya ulimi utabwagwa na mipesa yako kibamia
 
Vijana wa sasa yaan kutongoza tu mpaka afanyie mazoezi Kama anaenda kurekodi nyimbo za kwaya[emoji23][emoji23]

Sijui tatizo liko wapi jinzi mabinti wanavyozidi kujirahisisha ndio vijana wanazidi kupoteana.
 
Mapenzi sio swaga, jishughulishe kuisaka shilingi.../

Demu anataka baga, we unamletea michosho ya kipimbi?../

Mwisho atakubwaga, akajiongeze kwa midingi.../
Umemalizaaaaaaaah kabisaaaaaaah, pitia kwa mangi chukua chochote nakuja kulipa.
 
Back
Top Bottom