Njoo tufundishane jinsi ya kutongoza. Swaga za hatari za kum-win msichana

Vijana wa sasa yaan kutongoza tu mpaka afanyie mazoezi Kama anaenda kurekodi nyimbo za kwaya[emoji23][emoji23]

Sijui tatizo liko wapi jinzi mabinti wanavyozidi kujirahisisha ndio vijana wanazidi kupoteana.
Pesa ndo mchawi mkuu.
 
Mkuu kutongoza ni kipaji wengine tumekalili unamwambia tu nikinywa maji nakuona kwenye kikombe hata Kama ndo first day mmeonana..πŸ˜‚
Izo swaga za zaman siku hz kuna mistar hatar mfano jana nimekuota. Nikiwa free mawazo juu yako. Kila nikiwa kitandan lazima hisia zije kwako nk io ndo vina vya sasa mambo ya kwenye glas yashapitwa na wakat
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Sahivi hawataki hela au..
 
Umemalizaaaaaaaah kabisaaaaaaah, pitia kwa mangi chukua chochote nakuja kulipa.
Mtahonga mpaka mfe unq muhonga demu gar na apo apo bado watu wanakuchapia kumhonga demu ni kuonesha huna hadh ya kumtomba mpaka ulipie
 
Wanaangalia we ukoje wakikuona fala pesa lazima itajwe itajwe kuanzia vocha .kusuka.pedi. nguo.viatu na malupulupu kibao na usipotoa hugusi kitu
Yalaa tobaa ee.. kumbe mi fala..πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ndiyo maana serikali haiwaajiri
 
Bado we ni mjanja bwana ila ufala wako utaidhihirisha pale utaposhuhudia demu wako anagongwa na kapuku licha ya kumpa kila kitu
πŸ˜‚πŸ˜‚
Kwani waganga wameisha mkuu..😜
 
Vijana wa sasa yaan kutongoza tu mpaka afanyie mazoezi Kama anaenda kurekodi nyimbo za kwaya[emoji23][emoji23]

Sijui tatizo liko wapi jinzi mabinti wanavyozidi kujirahisisha ndio vijana wanazidi kupoteana.
Apa sijaja kuwapa watu mistar ya kushika cha msing ni kujua wakati gan na mda gan unapaswq uongee nn zaid ya hapo utashangaa unapata kigugumiz mwisho demu atakuona domo zege
 
Kuna watu wamesoma huu uzi wote..[emoji28]

Kweli makomamanga yapo mengi.. kumbe kutongoza ndo kurefu hivyo! Nishajua nakosea wapi na nimeamua nitafute hela tu haya mengine yatakuja yenyewe kuliko kuhangaika hivyo asee..
Kwan hela zenyewe hutafuti....? Zinakuja zenyewe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…