Njoo tufundishane jinsi ya kutongoza. Swaga za hatari za kum-win msichana

Mtahonga mpaka mfe unq muhonga demu gar na apo apo bado watu wanakuchapia kumhonga demu ni kuonesha huna hadh ya kumtomba mpaka ulipie
Weee unajidanganya sana yaan usawa huu, eti umpate demu bila kumpa pesaaa? Kabisaaah khaaaah hata Bottoms wenyewe wanahongwa aaah
 
Tittle pale juu ungeandika WAJUZI WATAONGEZA
 
Kwani shida iko wapi mkuu..? Au hujawahi kusikia ule wimbo hilo ni chaguo lako..[emoji23]
Huyo ni chaguo lako (chaguo lako)
Huyo ni chaguo lako (chaguo lako)
Huyo ni chaguo lako (chaguo lako)
Umeomba kwa miaka nyingi
Umetafuta kila mahali
Leo umepata wako, ambaye ni chaguo lako
Huyoo ni chaguo lako,
Alizaliwa kwa ajili yako
Ameumbwa kwa ajili yako
Huyoo ni chaguo lako, huyo ni chaguo lako
Huyo ni chaguo lako
Huyoo ni chaguo lako (chaguo lako)
Huyoo ni chaguo lako (chaguo lako)
Huyo ni chaguo lako (chaguo lako)
Hatakama ni mrefu, hatakama ni mfupi
Hatakama ni mnene, hatakama ni mwembamba
Huyo ni chaguo lako, huyoo ni chaguo lako
Hatakama ni mweusi, hatakama ni mweupe
Huyoo ni chaguo lako, Huyo ni chaguo lako
Huyoo ni chaguo lako (chaguo lako)
Huyoo ni chaguo lako (chaguo lako)
Huyo ni chaguo lako (chaguo lako)
Huyo ni chaguo lako (chaguo lako)
Nyumbani mwenyu iwe amani
Usiwe uwanja wa mapambano
Kila mara mpembelezane
Kila mara muombeane
Huyo ni chaguo lako
Tangulizeni Bwana Yesu
Atawale maisha Yenyu
Huyoo ni chaguo lako, huyo ni chaguo lako
Huyo ni chaguo lako
Huyoo ni chaguo lako (chaguo lako)
Huyoo ni chaguo lako (chaguo lako)
Huyo ni chaguo lako (chaguo lako)
Huyo ni chaguo lako (chaguo lako)
Neno la Mungu linasema, mwanamke atamlinda
Mume wake kwa muombe, nawe tembea na mumeo
Ukimlinda kwa maombi, kila siku muombe
Kila siku mubariki, nyumba yenyu iwe baraka
Huyo ni chaguo lako, chaguo lako
Chaguo lako, chaguo lako
Huyoo ni chaguo lako (chaguo lako)
Huyoo ni chaguo lako (chaguo lako)
Huyo ni chaguo lako (chaguo lako)
Huyo ni chaguo lako (chaguo lako)
Msisikie la walimwengu
Wekeni pamba masikioni
Ya walimwengu yatawapotosha
Ya walimwengu yatawachanganya
Ya walimwengu yatawachafua
mwiteni Yesu awatale
Mwiteni Mungu atawale
Huyo ni chaguo lako, huyo chaguo lako
Huyo chaguo lako
 
Ukiwa na hela wanawake wenyewe wanapanga foleni,mambo ya mistari ni zama zilizopitwa na wakati.
 
Ita rafiki yake ongea nae kua umempenda mwenzake .Andaa bajeti ya 50000. Mpe buku 5 au 10 ya vocha akipewa jibu atakwambia. Jibu likija negative mpe mualiko aje yeye na rafiki yake sehemu fulani amaingz . Baada ya siku 2, utaletwa mpka kwa room na kujilia kiulainiii.
 
Unaongea ya zamani hayo, Kutongoza hakufundishwi mtu siku hizi,
Tafuta pesa kwanza.
 
Hii ni kwa demu asiyetaka pesa tu. Wengine mwambie tu nakutaka nina Buku 20000
 
Mkuu kutongoza ni kipaji wengine tumekalili unamwambia tu nikinywa maji nakuona kwenye kikombe hata Kama ndo first day mmeonana..πŸ˜‚
Kichwa chakoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Yote ya nini hii tafuta pesa mzee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu mimi na Swali ..! [emoji848] Hivi Ukimwambia Unampenda na Yeye Akakujibu ,,Nakupenda pia,,

Ni neno Gani Huwa linafata Et Mabaharia ..??[emoji848]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…