Njoo tujifunze biology:Je unafahamu eneo lnapotoka sauti yako?

Sister Abigail

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2020
Posts
4,817
Reaction score
14,925
Hapo ndipo sauti huwa inatokea, huo weupe kuzunguka tundu ndio zinazoitwa vocal cords,
na hilo tundu linaitwa glotis..hapo ndipo hewa huwa inapita kuingia na kutoka kwenye mapafu... hilo ndio koo.. .

ukisikia mtu anaongea kwa sauti ya kukwaruza tatizo huwa lipo hapo, mara nyingi huwa kuna uvimbe...

na chakula au mate yakiingia hapo ndio unasikia mtu anasema nimepaliwa.. sasa akili yenu hamchelewi kusema duniani wawili wawili...✍️

Muwe na usiku mwema!
 
Attachments

  • 1791828707065.jpg
    1791828707065.jpg
    55.6 KB · Views: 7
  • e082a60423d4c4bb8e3cc3d2dbb123ed.jpg
    e082a60423d4c4bb8e3cc3d2dbb123ed.jpg
    13.3 KB · Views: 9
  • IMG_b5d7ecb6-c596-4604-a431-08ed2325b38a.jpg
    IMG_b5d7ecb6-c596-4604-a431-08ed2325b38a.jpg
    28.1 KB · Views: 10
Hapo ndipo sauti huwa inatokea, huo weupe kuzunguka tundu ndio zinazoitwa vocal cords,
na hilo tundu linaitwa glotis..hapo ndipo hewa huwa inapita kuingia na kutoka kwenye mapafu... hilo ndio koo.. .

ukisikia mtu anaongea kwa sauti ya kukwaruza tatizo huwa lipo hapo, mara nyingi huwa kuna uvimbe...

na chakula au mate yakiingia hapo ndio unasikia mtu anasema nimepaliwa.. sasa akili yenu hamchelewi kusema duniani wawili wawili...✍️

Muwe na usiku mwema!

Sister Abigail Parokia ya Tabata.
ok.🐒
 
Asanteee
 
Kumbe sauti inatoka kwenye marangi mekundu na kipembe tatu. Ok
 
Back
Top Bottom