Sister Abigail
JF-Expert Member
- Sep 2, 2020
- 4,817
- 14,925
Kwanini mkuu?Ila Mungu fundi sana
Na Nini??Inafanana na nonino au ndio maana umesema duniani tuko wawili wawili
ok.πHapo ndipo sauti huwa inatokea, huo weupe kuzunguka tundu ndio zinazoitwa vocal cords,
na hilo tundu linaitwa glotis..hapo ndipo hewa huwa inapita kuingia na kutoka kwenye mapafu... hilo ndio koo.. .
ukisikia mtu anaongea kwa sauti ya kukwaruza tatizo huwa lipo hapo, mara nyingi huwa kuna uvimbe...
na chakula au mate yakiingia hapo ndio unasikia mtu anasema nimepaliwa.. sasa akili yenu hamchelewi kusema duniani wawili wawili...βοΈ
Muwe na usiku mwema!
Sister Abigail Parokia ya Tabata.
AsanteeeHapo ndipo sauti huwa inatokea, huo weupe kuzunguka tundu ndio zinazoitwa vocal cords,
na hilo tundu linaitwa glotis..hapo ndipo hewa huwa inapita kuingia na kutoka kwenye mapafu... hilo ndio koo.. .
ukisikia mtu anaongea kwa sauti ya kukwaruza tatizo huwa lipo hapo, mara nyingi huwa kuna uvimbe...
na chakula au mate yakiingia hapo ndio unasikia mtu anasema nimepaliwa.. sasa akili yenu hamchelewi kusema duniani wawili wawili...βοΈ
Muwe na usiku mwema!
Baada ya kujua ni koromeo?Hizo picha kdg Nipigie nyeto π
Umeelewa lakini?Hahahahaj
Ah nmekasirika sana πBaada ya kujua ni koromeo?
π
Tamu ya baba ambayo anayo mamaNa Nini??
πππ
Kumbe sauti inatoka kwenye marangi mekundu na kipembe tatu. OkHapo ndipo sauti huwa inatokea, huo weupe kuzunguka tundu ndio zinazoitwa vocal cords,
na hilo tundu linaitwa glotis..hapo ndipo hewa huwa inapita kuingia na kutoka kwenye mapafu... hilo ndio koo.. .
ukisikia mtu anaongea kwa sauti ya kukwaruza tatizo huwa lipo hapo, mara nyingi huwa kuna uvimbe...
na chakula au mate yakiingia hapo ndio unasikia mtu anasema nimepaliwa.. sasa akili yenu hamchelewi kusema duniani wawili wawili...βοΈ
Muwe na usiku mwema!
πKweli Kuna sehemu panafanana sanaπ..
Vimefanana sana kwa kweliπ
ππVimefanana sana kwa kweli