Gemini Are Forever
JF-Expert Member
- Sep 10, 2019
- 1,508
- 2,619
hata mimi siamini kama yale ni mafuta na kama ni mafuta si hivo vyombo vingekuwa vinaanguka kwa kukosa mafutaMafuta yanayomwagwa angani e?ndio yanaweka ile mistari?
hata mimi siamini kama yale ni mafuta na kama ni mafuta si hivo vyombo vingekuwa vinaanguka kwa kukosa mafuta
Ndo mwezi wetu huu, vipi agingday yako keki ishaliwa ama?Mshana Jr said:Am Gemini
Nini hasa hujaelewa mkuu? Hebu tulia, rudia tena kusoma uzi aya kwa aya.Mtemi02 said:Bado sijapata mantiki ya uzi, nini hasa kinahitajika hapa
indigo ni rangi gani!?Mwanga tunaouona usio na rangi utokanao na jua ni muunganiko wa mianga saba yenye rangi saba tofauti, kwa kiingereza ni kama zifuatazo Violet, Indigo,Blue,Yellow, Orange,Green and Red.
Nimesoma hivyo na ninaamini hivyo.
Karibu wa kunikosoa...
rangi iliyo kati ya bluu (blue) na zambarau (purple)I
indigo ni rangi gani!?