Njoo tukumbushane maneno ya kizamani

Manzi - demu - mbebe - Mchumba

bati - Sh. 500

milupo - malaya

kula kona - ondoka

chuza (acha kunichuza) = Danganya

kuruka majoka - kujirusha (club)

mpododo/bambataa - kalio

Mpango wa Kando - mchepuko (hili walilitumia sana wakenya)

baishia - (hii wengine wataelezea)
 
Kupiga chabo (kula deo )
Hii kuna mzee mmoja alikuwa radhi akulipie ghetto na kumtoa mchuchu kabisa (kumlipa )ila umuachie chabo tu ndio yalikuwa maradhi yake anatembea na spoku ka fundi baiskeli vile.
 
Deiwaka
Manzi
MselaNya
Unakima**
Una Mobitel (simu)
Umeweka dola (vocha)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…