Ma2CNyapu
sungus kavkavKing'wasu
Kisepe
kinenge
King'wasu
Kisepe
wacheza gololi utawajua tusungus kavkav
Mkuu inaelekea na wewe ulicheza huo mchezo umejuaje terminology zetu..πππwacheza gololi utawajua tu
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji100]
teh teh, kipindi hiko unanunua dungu mkienda kucheza ukilenga gololi ndogo lazma iwe banju [emoji23] [emoji23]Mkuu inaelekea na wewe ulicheza huo mchezo umejuaje terminology zetu..πππ
Tena akibanjua gorori unamuambia achukue hiyohiyo aliyoibanjua ila zamani raha sana jamani.πππteh teh, kipindi hiko unanunua dungu mkienda kucheza ukilenga gololi ndogo lazma iwe banju [emoji23] [emoji23]
acha tu kaka kipindi hiko mi ndio mbavu mtaani, nikiwakuta madogo wanacheza nawafanyia sungus nasepa badae wanaenda kuomba kwao ela ya gololi then wanakuja kwangu kuzinunua gololi zao, longi sana mkuu.Tena akibanjua gorori unamuambia achukue hiyohiyo aliyoibanjua ila zamani raha sana jamani.πππ