Njoo tukumbushane maneno ya kizamani

Njoo tukumbushane maneno ya kizamani

chepe
madenge
mapung'o
kiokote

zegembe
bogi
kadamnasi
mayasa
solemba
king'ast
nyambizi
shega
mkwaju
tafubuti
pipi kidonge
nyanyapuza
redimedi(aina flan ya nguo za kina mama)-ready made
G.V(dawa)
rangi mbili-vidonge
CK(malapa)

VIP-chupi
gagulo
yomboo(super black kwa ajili ya nywele)
Yoranda(aina flani ya mafuta)
kimbo


NOTE THAT MAJINA YA VITU NAYO NI MANENO.
 
Chobisi pembeni/faragha
Kwa mama Uingereza
Bitozi Sharo wa sasa
 
teh teh, kipindi hiko unanunua dungu mkienda kucheza ukilenga gololi ndogo lazma iwe banju [emoji23] [emoji23]
Tena akibanjua gorori unamuambia achukue hiyohiyo aliyoibanjua ila zamani raha sana jamani.😀😀😀
 
Tena akibanjua gorori unamuambia achukue hiyohiyo aliyoibanjua ila zamani raha sana jamani.😀😀😀
acha tu kaka kipindi hiko mi ndio mbavu mtaani, nikiwakuta madogo wanacheza nawafanyia sungus nasepa badae wanaenda kuomba kwao ela ya gololi then wanakuja kwangu kuzinunua gololi zao, longi sana mkuu.
 
Back
Top Bottom