Njoo tukumbushane maneno ya kizamani

Njoo tukumbushane maneno ya kizamani

Haya ndo maneno ya kizamani?

Kumbe wengi wenu ni wa juzi kiasi hiki?

Wacha niende kwa Kingunge tukajikumbushe enzi.
 
Bwage mtozeni
Kalubandika
Kudinya
Nishai
Vinibu
Mtu wa usalama wa taifa aliitwa (nyau )
 
Back
Top Bottom