Njoo tukumbushane maneno ya kizamani

Njoo tukumbushane maneno ya kizamani

Nzugwe -fujo
Valangati -fujo
Karandinga -gari la magereza
Alikuwepo actor wa kichina alicheza kama kilema sasa ikiwa unataka kumzungumzia mtu kilema unasema sonchiba au chiba
Mohamed ali alimpiga bondia aitwae spinks na kumtoa meno sasa ukitaka kumuongelea mtu mwenye mapengo unasema spinks
 
majina ya hela ya zamani
1.Mpango
2.Ngawila
3. mapene
 
Back
Top Bottom