Njoo tukumbushane maneno ya kizamani

Njoo tukumbushane maneno ya kizamani

Choli
Nanga (mtu asie jua kuogelea
Utabana ngenge
Uzo (gongo )
Mkashoo (rumande )
 
Njiwa - simu
Fatiri - gari
Kugoshoo - kufa
Mbongo - polisi
Kibati - speed kubwa

Enways, maneno ualikuwa yanatumika zaidi kutokana na mitaa unayotokea.
 
Savco /jeans
Chachacha/Viatu
Bondo/ugali
Vyama vingi/maharage
Cheche/kivunja undugu/wali
Dingi/baba
Lodilofa/
Mapungoo
Njomba nchumali
Madenge
Mdudu wa Unga/mtu anayependa kula ugali sana
wali wa shaba/pilau
Mchanga mtamu/sukari
Mzee kifimbo cheza/mtaalamu wa kiswahili aliyekuwa analawalambisha bakora wote wanaoharibu lugha
 
Kijebakijeba anaondoka na ndegeeee.Fidodido mtoto wa mayai ana usongo wa kupanda ndege.Nipeleke nipeleke.Wapi kwa bakhresa.Kwa bakhresa kuna nini?Koni ya mrija.
 
Back
Top Bottom