Nyie mpotezeni uyo dogo uwo mziki anaoimba ni mzuri unaburudisha ila sio mzuri/profitable kwa soko linavyoenda, mziki uwo wameimba wengi Bright, Baraka, ibra nation, Aslay nk.....ila wote wanapotea unachotakiwa kujua hakuna fundi wa mziki aina hiyo kama Diamond akifuatiwa na Harmonize “ila kwanini hawauimbi” hapo ndipo siri ilipo.
Unafikiri kwanini Diamond haimbi ngoma zake kama Sikomi, nitampata wapi, ukimuona nk.... Unsfikiri kwanini Harmonize haimbi ngoma kama Atarudi ila anaimba Uno, Inabana nk.....mziki wa Marioo ni mzuri ni mtu aliyeletwa Tz kutuburudisha Ila kama anataka kutoboa kweli aachane na kuwaburudisha watu ausome mziki unaendaje.