Naifahamu mbinu mojawapo, ukivamiwa na vibaka, usikubali kukosa vyote, usibishane nao, fanya moja kati ya yafuatayo, Kama umevaa saa itoe na uirushe mbali, au uelekeo waliko watu au kichakani. Unaweza kufanya hivyo kwa simu au wallet. Ukifanya hivyo kama wapo wawili au zaidi watagawanyika, wengine kukusachi na wengine kukimbilia ulichorusha.
Hapo watakuachia upenyo wakupambana na mara nyingi ukirusha kitu, akili zao huwaaminisha kuwa ni kitu cha thamani hivyo wote hukimbilia na kuanza kusigana kukitafuta.
Hapo nunua bandle la Hussein Bolt, kama kwenu ni Masaki, waje wakukutie Mbagala au Gongo la mboto.