Njoo Tupeane Mbinu Za kuwakwepa Vibaka

Hahahaaa ,ilinitokea Dodoma sehemu flan karibu na bot mkabala na veta pale,,nilikuwa na msela flan sasa bhna msela kumbe ashakabwa tena bhna,,mm nilochezwa chale nikamwambia msela tuokote mawe,tukakatisha ile kufika katkat uwanjani Mara gafla hawa duh nilichoshuhudia msela anadondosha mawe sasa mm nikawa nimevaa sweta nikaitoa nikaiweka chini aaf huko naona msela anagalagazwa mbaya,,bapa zinamalalia mbaya,,mm nikawa napambana kiroho safi,,nilinilivosikia aaf huyu dogo si ndio wa siku ile kule chini nikaona kumbe ni wa hapa hapa, sasa bhna mm nilikabiziwa tall mmoja ivi coz siwaliniona mpole aaf hapo Nina HTC yangu inang'a et nitoe pasword,kugeuka mshkaji kifua wazi kule duh mm sijui Nilipata wap nguvu nilimchap tall kitu ya matumla usoni pwaaaa alafu Mimi huyoooooo nilishuhudia na wenyewe wanatembea kila MTU usawa wake,,nimefika kambi msela anakuja na boxer dah nilicheka,,,kwa wa kwa kwa kwa kwa
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwa hizo mbio nadhani hadi wao wenyewe walienda kuulizana maskani, jinsi gani ulipotea hapo hapo.
 
Mi mbinu yangu ni manati ya kizungu tu kila sehemu lazima niwe nayo.
 
Wewe njoo na mbinu zako zoote ukinikuta anga zangu,,,
Lazma ule loba tu.
Labda sijakunuia mkuu.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwa hizo mbio nadhani hadi wao wenyewe walienda kuulizana maskani, jinsi gani ulipotea hapo hapo.
Aaan acha afu uzuri nilikuwa nimevaa raba, nilitembea kama huseni bolt dah achaeni,,wanasemaga uoga nao n akili niliamini iyo siku
 
Mkuu Castr nimecheka sana mbinu zako za kukwepa kukabwa na wanaume wa dar
 
Mi mbinu yangu ni manati ya kizungu tu kila sehemu lazima niwe nayo.
Kwa sasa hivi sina cha kukilinda kwa manati ya mzungu, ila huo muda ukifika itabidi niitafute.
 
Wewe njoo na mbinu zako zoote ukinikuta anga zangu,,,
Lazma ule loba tu.
Labda sijakunuia mkuu.
[emoji23] [emoji12] [emoji23] [emoji12] [emoji12] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Kumbe kuna hadi kunuia!!!? Ebwana wewe dawa yako Mondray
 
[emoji23] [emoji12] [emoji23] [emoji12] [emoji12] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Kumbe kuna hadi kunuia!!!? Ebwana wewe dawa yako Mondray
Tena nikikunuia hapo lazma nikuekee na alama ya maisha.
Wakati huo nishakuchojoa kila kitu..
Hata nikikukuta na ekanchif nabeba mkuu
 
Mimi nazurura usiku, vibaka kuna code wanazijua za kukaba, mi mwenyewe nimepagawa.
 
...Sipendagi ujinga wala mazoea wakati wa matembezi yangu ya usiku hasa maeneo yenye kutisha ikiwemo vibaka na watu nisiowafahamu! Sikupi nafasi ya kunisogelea wala maongezi hutaambulia ikiwa nakutana na wewe kwa mara ya kwanza, na kama utaendelea kujipendekeza kwangu kitakachokukuta utajua ni kwa nini kanga hana manyoya shingoni! Huwa nahisi usiku na mchana kwangu ni sawa tu! Sitoagi nafasi kwa mapoyoyo mimi hah hah hahah
 
Ndugu yangu alitoka mkoa akaingia Dar usiku akawa anakuja kulala kwangu huku uswazi Tandika nikamwambia hadi ufike kwangu utakuwa ashaporwa hadi korodani akasema nitafika tu. Alishuka ubungo saa sita kasoro usiku

Alitumia mbinu ile ya kuvua tshirt akaichomeka kwenye kiuno ikawa inaning'nia kama mkia hivi na suruali yake ya jinsi akakunja mguu mmoja ikafika magotini

Alivua raba akatundika begani akabakia peku peku na sigara alivuta sigara nyota siku hiyo .

Alipishana nao vibaka wanampa salam tu " vipi mwana " anawajibu "mwana huko nilikogusa bilabila mwana "

Wanajua mwenzao [emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]

Alifika salama kabisa nyumbani kwangu Tandika saa saba na nusu [emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
 
Mtoa mada umeleta topic ya maana...

Mie ninazo njia nyingi ila kwa wanawake kuna spray za sumu na shauri muwe nazo.. kingine kwenye pochi zenu wadada jaribuni kutembea hata na bisibisi ukikosa hio chukua hata mchanga wa changarawe kwenye kirambo kama upo beach na umechelewa then unahofu hao watu itasaidia...

Kwa wanaume, mkanda wa kiunoni unahusu... huo unaweza kumtoa mtu kinyesi, pili kama umekutana na teja dili na korodani...pigo moja linatosha kupunguza mishemishe...

Njia nyingine kama unamizigo umetoka mikoani unaingia dar.. na umefika saa sita usiku.. kunja jinsiyako mpaka kwenye mapaja vua shati.. vua viatu... dar pako vizuri , kama ni arusha omba kampani au jaribu kutembelea ktkt ya bara bara na uwe unatembe zigzag usikaribiane na mtu wala kupisha naye unless upo free bila mzigo au mwanamke.
 
Ndo zetu, sie wengine tushazoea. Tandika nimekaa sana kilimahewa, chiota yote kwangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…