Njoo tusimualiane Mambo ya kutisha/kuogopesha uliyowahi kushuhudia hapa Duniani

Mkuu hebu fanya uwezalo uniunganishe na huyo malaika
 
Mchawi wa kawaida hawezi kuwa hivyo, mimi pia niliwahi kupitia kupendwa na jamaa akaniambia ukiniacha nakuroga, nilikua naogopa aisee tukaja kuachana sijui kama hakuniroga sifikiriagi sana[emoji23]
Mtu ambae unamfikiria mara gafla unamuona, usiku unamuota halafu unaamka unamkuta mara anapotea, hajulikani anakoishi , kila ulipo yupo.

Japo sijui uchawi ila huo ni Advanced Uchawi aisee mortal sidhani kama anaweza kufanya hivyo vinginevyo huyo binti ndio mana nikasema ni immortal
kama sio jini / mzimu
umuulizage kwanini kaja kwenye maisha yako
 

Vijana wa siku hizi wanakwambia ulimbwela! Mwanangu ungeongea nae uone mwisho wake! Inawezekana ikawa coincidence tu, hukufikiria mbele zaidi kama ni jini kaweza kukupa namba yake ndotoni atashindwa ............. ungejiuliza maswali kama 10 hivi ya - na +
Halafu ungesema “no sweti” [emoji13][emoji23]
 

Hhmm!! Mwanangu nawe gwagu nini au ndio wale nyumbani mliaga?
 
Na mimi sijui nimefanyiziwa?kuna demu wa kipemba niliwahi kuwa nae kipindi nilienda zenj kutafuta maisha,demu alinipenda sana aliniuliza kama nitamuoa nikwambia ndio siwezi kukuacha mzee nimekula sana mzigo,kuna sku yule demu akikuwa jikoni anapika mara nyingi tukibaki wenyewe nakua nae mpaka jikoni tunapoga story basi akaniambia yeye anaumwa ila kuna dawa kapewa na babu yake achome kwenye moto

alikuwa na vikaratas vimeandikwa kiarab arabu akaniambia nimsaidie kweli na mimi nakumbuka nilivichoma kadhaa,dem nilikuwa nampenda sana tulikuww tunajificha mpaka ikawa wazi sasa kuna aunt nilikuwa naishi nae kuna siku akaniambia mwaj kakuroga nimeona barua kwenye begi lake akipewa maelekezo jinsi ya kufanya.mimi nikawa nabisha nilihis hiyo aunt hataki tu mahusiano yetu,kwakufupisha demu nilikuja kutemana nae yani ilitokea nikimuona moyo unapasuka kama hajaniona nabadili njia .

akinitafuta namkwepa miaka hiyo hakuna cm,tatzo nilokuwa nalo mpaka sasa madem napata lakin show zinakuwa mbovu sometimes mashine inagoma kabisa.huwa nafikiria sijui atakuwa yeye kasababisha?manake aliniambia ukiniacha sikusameh mda mwingine nafkiria niende zenj nikamtafute labda anaweza kutegua mitego.

kile kipindi cha mwanzo wakati nimemuacha nilikuwa namsikia usingizini ananiita jina langu dirishani nikistuka simuon hiyo hali ya saut yake ilidum kama niez 3 ila sio kila siku
 
Hakika MKUU ila kama ningekua nayo wala nisingemfanyia khiyana KAKA angu hapo[emoji16][emoji16][emoji16]

Sent using My COVID-19
 
Pole sana!
 
Dah pole sana MKUU.....

Sent using My COVID-19
 
Kama unakumbuka majina yake pia waweza niambia nataka nimvute kwangu uku
Jina nalikumbuka moja tu lakwake ila sio lamzazi wake

Ila kwa masuala ya location juu ya hili utanisamehe Mkuu

Alikua anaitwa Nadya(Nadia)

Sent using My COVID-19
 
aseee kama nijini ama mzimu c aniache tena maana nakumbuka last time alinambia anaolewa nlivyopata bahati yakua namawasiliano nae kwamara yamwisho ss kama nimke wamtu tayari anantaftia nini aseee [emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]

Sent using My COVID-19
 
si kakuona wewe ndio mnyonge wake[emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…