gilberto de rico
Senior Member
- Feb 7, 2019
- 164
- 121
fungua pm unieleze vizuri nitoe ujingaNi kweli uchawi upo ndugu yangu kuna watu wanatumika na wachawi bila wao wenyewe kujijua kiongozi nazani ata Mimi niliwai kuwa muhanga.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
fungua pm unieleze vizuri nitoe ujingaNi kweli uchawi upo ndugu yangu kuna watu wanatumika na wachawi bila wao wenyewe kujijua kiongozi nazani ata Mimi niliwai kuwa muhanga.
Mkuu hebu fanya uwezalo uniunganishe na huyo malaikaKwamatendo yangu MKUU sidhanii asee kuna mada moja nili ilose pale juu ya UMUHIMU sana yule bibie kuna day moja katika zile nne alizonijilia Night alinitia stiki balaa asee
Yaani fimbo kabisa [emoji16][emoji16] nacheka kama mazuri
Ila zile stiki zilikua miongoni yasababu yakumtafuta japo nlikuja onana nae bila kutarajia
Ila pia kinachonishangaza nikwamba aliwahi nambia anakaa maeneo flan kwenda muulizia maeneo yale hawamjui kabisaa nahayo maeneo mimi najulikana kwel kwel maana kulikua na washkaji tulikua tunapiga nao soka kitambo nahicho
Pia katika wale watu wapale aliwahi nitajia jamaa mmoja ambae alidai kuwa mwanaume wake kabla yakuwa namimi ila yule jamaa ananambia hakuwahi kuwa namwanamke wanamna hio nahamna mwanamke wabamna hio kwapale
Kuna mambo yananifiirisha sana juu yayule manzi kiukweli yaani mpaka najishangaa yule mwanadada hakua mtu wasocial media yeyote ile ila alikua namuonekano wamambo hayo baada yakuachana na mimi maana katika maisha yakawaida bina adamu tunaweza tusionane ila mpaka kule kweli kwa mitandao ?! Nahuku kwamitandao pia hakuniumizi kichwa sana kama nikifika pale mitaa alowahi nambia anakaa halafu naambiwa hakuna mwanamke wanamna yake hasa wajina lake alowahi kukaa pale nlioneshwa wanawake wanamna namajina yake wapale karibu robo nawajua maana maeneo yale najulikana na napajua vyema.....
Ila immortal how hem nieke wazi hapa.....
Sent using My COVID-19
Mchawi wa kawaida hawezi kuwa hivyo, mimi pia niliwahi kupitia kupendwa na jamaa akaniambia ukiniacha nakuroga, nilikua naogopa aisee tukaja kuachana sijui kama hakuniroga sifikiriagi sana[emoji23]Kwamatendo yangu MKUU sidhanii asee kuna mada moja nili ilose pale juu ya UMUHIMU sana yule bibie kuna day moja katika zile nne alizonijilia Night alinitia stiki balaa asee
Yaani fimbo kabisa [emoji16][emoji16] nacheka kama mazuri
Ila zile stiki zilikua miongoni yasababu yakumtafuta japo nlikuja onana nae bila kutarajia
Ila pia kinachonishangaza nikwamba aliwahi nambia anakaa maeneo flan kwenda muulizia maeneo yale hawamjui kabisaa nahayo maeneo mimi najulikana kwel kwel maana kulikua na washkaji tulikua tunapiga nao soka kitambo nahicho
Pia katika wale watu wapale aliwahi nitajia jamaa mmoja ambae alidai kuwa mwanaume wake kabla yakuwa namimi ila yule jamaa ananambia hakuwahi kuwa namwanamke wanamna hio nahamna mwanamke wabamna hio kwapale
Kuna mambo yananifiirisha sana juu yayule manzi kiukweli yaani mpaka najishangaa yule mwanadada hakua mtu wasocial media yeyote ile ila alikua namuonekano wamambo hayo baada yakuachana na mimi maana katika maisha yakawaida bina adamu tunaweza tusionane ila mpaka kule kweli kwa mitandao ?! Nahuku kwamitandao pia hakuniumizi kichwa sana kama nikifika pale mitaa alowahi nambia anakaa halafu naambiwa hakuna mwanamke wanamna yake hasa wajina lake alowahi kukaa pale nlioneshwa wanawake wanamna namajina yake wapale karibu robo nawajua maana maeneo yale najulikana na napajua vyema.....
Ila immortal how hem nieke wazi hapa.....
Sent using My COVID-19
Ngja nifunguefungua pm unieleze vizuri nitoe ujinga
Ncheki 0625225889 pm nmeshindwa kufungua tuma SMS ntakujib na utumie jina hii hii unatotumia apa JFfungua pm unieleze vizuri nitoe ujinga
on a Fanya kufuta hiyo comment ya mwanzo maana imeniogopesha saanaNcheki 0625225889 pm nmeshindwa kufungua tuma SMS ntakujib na utumie jina hii hii unatotumia apa JF
kumbe na wewe ulikua muhanga.tupe story bhasi...Ni kweli uchawi upo ndugu yangu kuna watu wanatumika na wachawi bila wao wenyewe kujijua kiongozi nazani ata Mimi niliwai kuwa muhanga.
Ilikuwa mwaka 2009,Kuna siku nimelala nikawa naota kuwa nimepanda daladala kituo cha mwenge naelekea posta basi nikawa nimekaa siti ya nyuma ya Costa. Basi kufika kituo cha Victoria akapanda mdada mmoja akaja kukaaa karibu yangu siti ya nyuma,tukaendelea na Safari kufika kituo cha mbuyuni yule dada wa ndotoni akaniachia kikaratasi kina namba za simu akashukia kituo cha mbuyuni,baada ya mda nikastuka kutoka ndotoni kucheki saa ya simu mda huo ni saa tisa za usiku. Basi nimestuka kila kitu kwenye ndoto nilikuwa nakumbuka mpka namba za siku,kesho yake nawahadithia ndugu zangu nilichoota ndotoni na mpka namba za siku zilizokuwa kwenye karatasi nazikumbuka,wakaniambia tujaribu kuzipiga. Baada ya kupiga anapokea msichana ana lafudhi ya kiarabu anaitwa Nasrat na anaishi sinza,nilichofanya ni kuvunja laini na kutafuta line nyingine mpka leo sielew ile ndoto na coincidence zake
[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]Jini
"Not everything is for everybody"
mkuu nakubaliana na ww, ninapokaa kuna mtoto wa mzee mwenye nyumba ni mwanamke wa makamo kuna nyepesi kua na yeye ni fundi, siku moja asubuh anamwambia mke wng eti usiku ameota pale kwangu kuna sherehe yuko yeye na mwanangu wanacheza mziki,wife alivyonambia vile nilimind sana maana kuna kitu nilihisi ila nikamwambia wife hamna tatzo kama kuna lolote baya litawarudia,
kesho yake asubuh mwanae wa mwisho kaenda kucheza kavunjika mkono mpaka hospital mpaka kufungwa POP, nikamwambia wife si alitaka sherehe bas hiyo hapo aruke nayo
Hakika MKUU ila kama ningekua nayo wala nisingemfanyia khiyana KAKA angu hapo[emoji16][emoji16][emoji16]Daaa nacheka kama mazuri![emoji1787][emoji1787][emoji1787] watu tunajitahidi tuyakimbie haya maviumbe, wengine wanata ukaribu nao.
TANBIHI: Hawa viumbe sio wazuri, hata wakutendee wema kiasi gani, ukipishana nao watakutesa tu. Sio viumbe wa kuomba/kuhitaji kuwa nao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana!Asee hili jukwaa sikuwahi kutia neno ila kwakua nimekutana namada hii naomba nitie neno kidogo
mm nimtu ambae kwanza nilikua siamini kabisa ushirikina ama kuwepo kwa uchawi ila nilikuja kuamini kutokana na mfululizo wamatukio mengi sana niliowahi kukumbana nayo nikianza kuyajumlisha yautotoni sana toka nipo chekechea mpaka ukubwani
ila ntashare hii ya ukubwani maana ndio iliokua inanisisimua zaidi japokua mpaka sasa baadhi yamuda hua mauza uza yake yananitokea ila naona sasa kawaida tu ijapokua sio kawaida (stori ndefu kiasi ila nitaifupisha msiichoke)
UCHAWI KWAUPANDE WANGU UPO.
Ilikua kama miaka ya 2010s Hv mkoani dar nlikua namaskani yangu hv sehemu moja mkoani pale nakumbuka kuna siku alipita msichana jina ntalihifadhi alikua na dada ake aliomtambulisha kwetu hivi namimi nlikua na swahina wang tukawafata wale mabinti
mm nikakaa kwamdogo mtu na kwabahati mdogo mtu akatokea kunipenda sana sana sanaaa kiasi kwamba akawa ananilazimisha kwenda kwao sijui ilikua nakwamia wapi sikuwahi kukubali
yule binti alinipenda sana sana sana ila kunasiku tuko maeneo chochoroni mschana akanambia kwajinsi anavyonipenda kama itatokea nimemuacha ataniroga
kweli wakati niponae kunasiku naelekea nyumbani nilihisi kunakitu nyuma kina nifuata ila sikugeuka kukitazama na moja kwamoja nilimuhisi yule mwanamke ila nilipo karibia nyumban nikageuka ila sikumuona ila nilihisi kajificha sehemu wakati mimi nageuka nyuma
haikupita mda sana yule mschana tuka achana ikapita miaka mingi tukawa hatuna stori nawala kuonana haikua sana nakumbuka kwawakati ule nilikutana nae mara mbili ama tatu tu
Nafupisha Yule msichana kunasiku nililala nikamuona yeye nayule dada ake namtu niliemuhisi atakua mama ake wamekuja nlipokua nalala saa nane za usiku walikuja kichawi wakanilisha kitu(kuna siku nilikua sehemu ambayo mtu hawez kutuona ila akanambia mama ake kapita na kaniona sikushangaa sana ila nilishangaa kiasi)
Baada yapale kulishwa kitu niliumwa sana kwausiku ule maana kweli nilihisi kitu nakimeza nakilikua kinaniuma pia wakati wanakuja kunilisha usiku nilikua nawaona (yaani Mungu alinipa uwezo wakuwaona toka wanatoka mbali mpaka kufika nilipo ila nlikua sina uwezo wakuwafanya kitu mpaka walipo nilisha kitu)
Baada yakulishwa kitu nakupata maumivu mpaka kesho yake kwamarayakwanza nikaenda kwa mganga asubuhi yake nanilipata tiba tatizo likaondoka ila likawa linarudi rudi kidogo kitu kile nlichomezeshwa maana kilikua kinanitembea tumboni(pia nlipolishwa kile kitu nilipoteza uwezo wakusimamisha nguvu za kiume kwamda ila zimerejea[emoji3][emoji16][emoji5][emoji4])
Ikapita kama mwaka ama miaka miwili ikawa nime amua kuhama kwetu kuanza kukaa binafsi sasa kuna siku naingia nyumba nlipokua nakaa baada yakuamua kuhama kwetu yule mwanamke sku hio naingia ndani mlango mkubwa wanyumba nlipo panga kwanje nikamuona kaka ila sikuelewa kafikaje skumuuliza kitu nikaingia ndani
baada ya sku ile akawa ananijia usingizini nikawa napenzika nae ndani ya usingizi ila chaajabu ikawa nikiamka yule mdada yupo na amenikumbatia kwel kwel hali yakunikimbatia inatokea kama dakika tatu halafu anasepa yule binti(tukio hili lilinitokea zaidi yamara tatu ama nne mfululizo)
Nikarejelea kwayule mzee wangu akanambia mwanamke yule pengine sio mtu ila sikujali sana nlilojali asinijie tena kunisumbua ili niishi kwa amani
kna siku nikawa nimekaa nikamuwaza yule mwanadada akapita tu ghafla nikaonana nae na nilikua sijui anakaa wapi maana tulishapotezana miaka mingi kiasi nikamwambia kama nna shida nae
Kweli tukabadilishana namba yasimu tukaonana nikamuelezea matatizo nnayokumbana nayo akanambia yakwamba yeye kama akitokea kumpenda Mwanaume kama alivyonipenda mimi halafu mwanaume akaenda kinyume nae ama akamfanzia kama nlivyomfanzia mimi basi lazma atapata tabu kama nlokua naipata mie ila akanihakikishia kama ntakua poa (kuna siku alinifata usiku nakunipiga mpaka nikawa naviashiria vyamtu anaetaka kupata stroke akanambia nahili tatizo pia lita ondoka) nikweli tatizo liliondoka
Ila bado hua ananijia baadhi ya mda usiku namuona tu kikawaida ila hatufanyi kitu mwisho juzi nilionana nae ila usiku(sikuwa usingizini alinitokea tu mara moja)
Mwisho:-Katika kufanya uchunguzi kwayule msichana kwa alipo nambia anakaa awali nimefanya kila jambo lakujitosheleza nimfahamu nimjue alikua anakaa wapi kwakila nnaeuliza maeneo yale alipokua anakaa yule mwanamke msichana wanasema hawamjui nahakuwahi kukaa ama kuishi mwanamke wakariba yake maeneo yale
UCHAWI AMA MAUZA UZA YAPO ILA UKITAKA UYAAAMINI MPAKA YAKUKUMBE AMA UKIMBANE NAYO KWAUPANDE WANGU YAPO KWA 100%
Sent using My COVID-19
Dah pole sana MKUU.....Na mimi sijui nimefanyiziwa?kuna demu wa kipemba niliwahi kuwa nae kipindi nilienda zenj kutafuta maisha,demu alinipenda sana aliniuliza kama nitamuoa nikwambia ndio siwezi kukuacha mzee nimekula sana mzigo,kuna sku yule demu akikuwa jikoni anapika mara nyingi tukibaki wenyewe nakua nae mpaka jikoni tunapoga story basi akaniambia yeye anaumwa ila kuna dawa kapewa na babu yake achome kwenye moto,alikuwa na vikaratas vimeandikwa kiarab arabu akaniambia nimsaidie kweli na mimi nakumbuka nilivichoma kadhaa,dem nilikuwa nampenda sana tulikuww tunajificha mpaka ikawa wazi sasa kuna aunt nilikuwa naishi nae kuna siku akaniambia mwaj kakuroga nimeona barua kwenye begi lake akipewa maelekezo jinsi ya kufanya.mimi nikawa nabisha nilihis hiyo aunt hataki tu mahusiano yetu,kwakufupisha demu nilikuja kutemana nae yani ilitokea nikimuona moyo unapasuka kama hajaniona nabadili njia .akinitafuta namkwepa miaka hiyo hakuna cm,tatzo nilokuwa nalo mpaka sasa madem napata lakin show zinakuwa mbovu sometimes mashine inagoma kabisa.huwa nafikiria sijui atakuwa yeye kasababisha?manake aliniambia ukiniacha sikusameh mda mwingine nafkiria niende zenj nikamtafute labda anaweza kutegua mitego.kile kipindi cha mwanzo wakati nimemuacha nilikuwa namsikia usingizini ananiita jina langu dirishani nikistuka simuon hiyo hali ya saut yake ilidum kama niez 3 ila sio kila siku
Jina nalikumbuka moja tu lakwake ila sio lamzazi wakeKama unakumbuka majina yake pia waweza niambia nataka nimvute kwangu uku
Mzee nilishapoteza mawasiliano nae muda sasa sielewi hata anakaa wapi wala nn.....Mkuu hebu fanya uwezalo uniunganishe na huyo malaika
aseee kama nijini ama mzimu c aniache tena maana nakumbuka last time alinambia anaolewa nlivyopata bahati yakua namawasiliano nae kwamara yamwisho ss kama nimke wamtu tayari anantaftia nini aseee [emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]Mchawi wa kawaida hawezi kuwa hivyo, mimi pia niliwahi kupitia kupendwa na jamaa akaniambia ukiniacha nakuroga, nilikua naogopa aisee tukaja kuachana sijui kama hakuniroga sifikiriagi sana[emoji23]
Mtu ambae unamfikiria mara gafla unamuona, usiku unamuota halafu unaamka unamkuta mara anapotea, hajulikani anakoishi , kila ulipo yupo. Japo sijui uchawi ila huo ni Advanced Uchawi aisee mortal sidhani kama anaweza kufanya hivyo vinginevyo huyo binti ndio mana nikasema ni immortal
kama sio jini / mzimu
umuulizage kwanini kaja kwenye maisha yako
Shukran sana MKUU nishapoa bana.....Pole sana!
AsanteDah pole sana MKUU.....
Sent using My COVID-19
si kakuona wewe ndio mnyonge wake[emoji2]aseee kama nijini ama mzimu c aniache tena maana nakumbuka last time alinambia anaolewa nlivyopata bahati yakua namawasiliano nae kwamara yamwisho ss kama nimke wamtu tayari anantaftia nini aseee [emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]
Sent using My COVID-19