Njoo tusimualiane Mambo ya kutisha/kuogopesha uliyowahi kushuhudia hapa Duniani

si kakuona wewe ndio mnyonge wake[emoji2]
dah kwakweli ananinyoosha asee maana nakumbuka siku nlomwita nije muomba msamaha nlipo kutana nae nlichoka alinambia nitangulie sehem ambayo hua tunakutania

nkatangulia nlipofika hayupo ila alivyokuja sikumwelewa nliona mtu kashafika tu

Noma sana kiukweli...[emoji22][emoji22][emoji22]

Sent using My COVID-19
 
Jiongeza mdogo wangu hapo dingi alipitiwa na usingizi kwa maza mdogo au ulitaka asemeje
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nacheka kama mazuri[emoji23][emoji23]
 
😁😁😁😁Syo lazima urudi Zenji ata apo ulipo unaweza kujitegua
 
[emoji16]Kwahiyo kabisa ulimsaidia kuchoma talasimu zako mwenyewe, akuloge vizuri. Hizo uloona kwenye karatasi yenye maandishi, tena huwa mekundu inaitwa talasimu. Hayo yaliyoandikwa kama mlengwa wewe, basi huwa na jina lako kabisa
 
[emoji16]Kwahiyo kabisa ulimsaidia kuchoma talasimu zako mwenyewe, akuloge vizuri. Hizo uloona kwenye karatasi yenye maandishi, tena huwa mekundu inaitwa talasimu. Hayo yaliyoandikwa kama mlengwa wewe, basi huwa na jina lako kabisa
Ndio yalikuwa mekundu mi nilikiwa sielew nikaona namsaidia vp mkuu atakuwa amenifanya nini?demu alinipenda sana kuna vitu alivifanya kwa ajili yangu akiamini nitamuoa lakin nilimkimbia nikawa namuogopa tu bila sababu, na usiku nilikuwa akiita jina langu kama mtu mwenye huzuni hivi lakin ikaja kuacha nimpe msaada kama unaelewa haya mambo.kwasabu hata maisha yangu sio kama ilivyokuwa nafkiria na kupambana.
 
😂😂😂😂
Ulikuwa unamsaidia kuchoma!
 
Huyo alikuwa na malengo naye, wewe ukawa chovyachovya. Alikupenda sana, yote alifanya hayo usiondoke. Kabla ya kukusaidia, niambie kwanza ni dini gani ili nikueleze ukafanyaje.

Hizo dude ungekuwa unazijua toka mwanzo ungemtilia ubani kwenye moto zipite kwenye hiyo tarasimu ndiyo uchome moto. Zisingekuwa na nguvu yeyote
 
Mrembo anapiga sarakasi akiwa uchi mchana kweupeeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…