Njoo tusimualiane Mambo ya kutisha/kuogopesha uliyowahi kushuhudia hapa Duniani

Muslim
 
Mtafute Sheikh mwenye kujua visomo vya kutengua uchawi, akusomee ibtwaal sihr..... Au unaweza kujisomea mwenyewe ila unatakiwa uache mambo mschafu yote, uweze kukisoma. Uwe unaswali swala tano
Inshaalah sheikh kusoma mimi sijui labda nimtafute uyo sheikh na sijui nitampata wapi manke wwnfine wanajua kusoma lakin hayo mambo ya lutoa uchaw hawajui
 
Inshaalah sheikh kusoma mimi sijui labda nimtafute uyo sheikh na sijui nitampata wapi manke wwnfine wanajua kusoma lakin hayo mambo ya lutoa uchaw hawajui
Ibtwaal sihri ni hizi:

Ayatul kursiyuΓ—3
Suratul Az-ZilzallahΓ—3
Suratul IkhlaasΓ—3
Suratul FalaqΓ—3
Suratul An-nasΓ—3

Kama unazijua jisomee kwa wiki mbili, ukimtegemea Mungu zaidi
 
πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ daah noma sana aisee,nimekaa hapa katika kona na stuli na jiwe naona bado,sijui wamenishtukia au sijakaa fresh,kuna mother ana shape wanasema ni mkali wa hizo mambo,akija kinyume nyume sirushi jiwe na enjoy tu
πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…