Njoo tusimualiane Mambo ya kutisha/kuogopesha uliyowahi kushuhudia hapa Duniani

Mwaka 2012 nilienda wilaya ya rungwe kukusanya data, sasa katika harakati za kuzunguka nikafika kijiji fulani kinaitwa malalika sijui kama nimeandika sahihi, kipo 15km kutoka kiwila na 7km kutoka hospitali ya igogwe, nyumba niliyofikia ilijengwa mlimani hivi katikati ya shamba la chai, ilikua na vyumba viwili vya kulala nikapewa chumba kimoja kingine alilala mhudumu wa lile shamba, nyumba ilijengwa kwa tofali za tope ila ndani wamebandika magazeti chumba kizima ndio plasta na juu wameweka shuka ndio ceiling board, usiku nilipokua nimelala nilianza kusikia kishindo kikubwa juu ya bati kama mtu anatembea kutoka upande mmoja wa nyumba kwenda mwingine, mwanzoni nilihisi kama ndoto ila niliposhtuka usingizini niloendelea kusikia kama mtu anatembea juu ya bati, ile hali iliendelea kwa muda mrefu, niliinua kichwa kuchungulia dilishani nje sikuona kitu palikua na ukungu mkali ikabidi nirudi kujifubika branket langu huku moyo ukienda mbio sana nikajua leo kazi ninayo, baada ya muda ile sauti iliacha ghafla kikaja kitu kama kimbunga mle chumbani upepo mkali ukabandua yale magazeti yote ukutani mavumbi ya tofali yakawa yananiangukia kitandi mimi nimejifunika hadi kichwa nimekaza miguu shuka lisitoke, ule upepo ulipoisha nikaita alexxxx kwa sauti kubwa ambaye ni yule mwenyej wangu aliyelala chumba kingine alipoitika sikujua nimefikaje chumbani kwake, maana niliruka kitandani nikapiga teke kile kimlango cha chumbani nikavamia na mlango wake hadi chumbani kwake, nikamuuliza kama amesikia ivo vitu licha ya kuwa na baridi ila jasho lilikua linanitoka, jamaa alichonijibu ni tulia acha papara. Nikawa nimekaa kwenye kistuli pembeni ya kitanda chake huku tumewasha kibatali, jamaa akaniambia pametulia rudi ukalale nikakataa nikamwambia silali nakaa hapa hapa wewe lala, nilikaa pale hadi alfajiri nilipoona nje pameanza kupambazuka nikaenda mle chumbani palikua hovyo sana vumbi kila mahali nikachukua kibegi changu nikamwambia yule jamaa mimi nasepa badae njoo kiwira tuongee, nikatoka nikadandia magari yanayobeba ndizi na maparachichi kwenda mnandani, saa nne yule jamaa akikuja kiwira nikampa elfu ishirini nikamwambia ikitokea siku mabosi wangu wakija kijijini kuuliza kama nilifika awambie kuwa nilikuja na nikafanya kazi ila kiukweli nilikimbia huwa sisahau lilie tukio, kuna lingine nililiona wilaya ya mbogwe mkoa wa simiyu, ni vijijini huko ndani kabisa hata barabara hakuna mnapaki gari mnatembea 4km huko tulizinguana na mwenyekiti wa kijiji akatutumia kundi la fisi tukakimbilia kwenye nyumba ya mwanakijiji tukapiga simu kwa mtendaji akaja kutuokoa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni wazi alex alikufitini[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hehee nmeona mmeelezea mmenipa courage ya kusimulia na mimi kisa cha ajabu ajabu kilichonitokea..(mtanisamehe sio muandishi mzuri) nlifanikiwa kusoma shule ya boarding na ilikua ni mixture..boys na girls...kuna binti mmoja mrembo sana shuleni alikua anamaliza kidato cha sita yani ni mwaka wake wa mwisho na sisi newcomers form five tulibahatika kumkuta hapo.. basi huyo binti watoto wa o level waliokaa muda mrefu shuleni ambao ni boyz wakawa wamempachika jina wanamuita mpenzi jini.

nilidhani ni sababu ya uzuri wake tu na nyimbo ya z-anto ndio ilikua inatamba sana kipindi hicho hivyo nikapuuzia..nlibahatika kupata ukiranja na eneo la kusimamia usafi nililopatiwa alikuemo yeye na sikuwahi kumuona akilifanyia usafi na sikuwahi kulikuta chafu..hakua na marafiki kwa sababu sikuwahi kumuona akiongozana na mtu yoyote shuleni kama best yake..sasa sijui huko mabwenini alala wapi na vipi.nikawa sijisikii vizuri kila siku namkosa kwenye eneo lake na sijawahi kumkuta na nlitamani sana hata nimuongeleshe si ushaelewa mtoto mkali..

basi nikatega kamtego siku kwenye eneo lake nikampa kakazi cha kubuni tu ambacho sijatumwa na yoyote kwamba eneo lake ni njia ya kwenda ofisi ya mkuu wa shule so maua fulani ya kitenge yatapendeza nikamwambi jioni nitamsaidia kupanda akakubali lakini kwa dharau sana alinionesha.. basi jioni nikawa charming sana mpaka nikamjua na jina lake na akanizoea.. sasa kisa kikaanza usiku huo baada ya kumzoea nikiwa usingizini nmelala bwenini kwangu nikaota yupo hapo pembeni ya kitanda changu akiniambia kamwe nisirudie kumsaidia kazi nimpe atajua anafnyaje mwenyewe..asabuhi nikapuuzia ndoto tu tukakutana foleni ya chai hii sio ndoto sasa akaniambia nadhani umenielewa nlichokwambia jana usiku. Nikashituka sana hadi nikajiuliza alikuja bwenini kweli au?

Sasa muda wa kwenda asembly nikapita eneo lake yale maua tuliyopanda jana yake yalikua yameshaota na yamekua makubwa kitu ambacho hakiwezekani kabisa..tangu hapo nikawa naanza kumuogopa ila nikawa na kiununda fulani hivi najifariji kuwa labda network zangu kichwani hazisomi vizuri labda kuna jambo limenipita si unajua kuna muda unatafuta kasababu cha kujitia moyo. Nikaja piga story na madogo wa olevel kwanza wakanishangaa nimewezaje kuzungumza nae pili wakanisimulia visa vyake ambavyo nikadharau tu hawa madogo na shule yenyewe ya bush washamba maana kulikua na shida ya maji shule ilikuwa sehemu ya ukame ila hakuwahi kuonekana akihangaika na maji wala kuwa mchafu na mara zote alikua akinukia marashi tu..

nkasema washamba hawa watoto.. kisa kikubwa zaidi kikafuata usiku uliofuata tumemaliza prepo nikamvizia wanapotoka madarasa yao kumuhoji huwa anafanya usafi eneo lake saa ngapi akanijibu anafanya usiku wa manane nkamuacha nikasepa mbioo.. usiku huo wa manane nikiwa mzima najitambua nlimuona dirishani kwangu just imagine bweni za boyz na hairuhusiwi girls kuwepo na ulinzi wote ule alifikaje pale. akaniambia huu ndio muda nafanya usafi na akatoweka sikulala usiku mzima nlijaribu kuamsha roomates walizidiwa nanusingizi hakuna alienisikiliza nkakesha mpaka asubhi nikajiandaa kwenda assembly nikiwa natetemeka maana lazima tuonane nankweli asubhi nikamkuta assembly na akaniangalia huku akitabasamu nliogopa sana nikaamua kukimbilia ofisi za taaluma zilipo jirani cha ajabu naingia ofisi ya hizo za taaluma namkuta tena humo ofisi yabi asemmbly yupo na taaluma yupo..

nlipioteza fahamu na nligoma kurudi shule kabisaa nliwasimulia walimu na wazazi na ikabidi nihamishwe tu shule ila shobo na kilanga viliniingiza chaka...lakini wenzangu woote wanamuona tu na hakuna aliyewahi kuwa na habari nae.. na kila mlipojaribu kufanya utafiti hakuna aliyrmzoea kabisa anaishi kivyake... hata walimu darasani hawajawahi muhoji au kumpa kazi yoyote na nlipowauliza walimu (hapo nikiwa nawenge hospitali) mnawezaje kufanya nae maswala ya kitaaluma shule walimu majibu yaoo hata siyaelewi wanasema tunamuona darasani tu na assembly na kazi zabdarasani anafanya ila hakuna aliyewahi kumuuliza maswali wala kushughulika naekielimu na hao walimu hawajui kwanini kila mtu shule hajawahi mtilia maanani huyo binti..

waliniambia tu majina yake mawili ndio ikaishia hivyo.. mpaka sasa sijaelewa ni nini kilikua kinaendelea na binti yule pale shule
 
Hehee nmeona mmeelezea mmenipa courage ya kusimulia na mimi kisa cha ajabu ajabu kilichonitokea..(mtanisamehe sio muandishi mzuri) nlifanikiwa kusoma shule ya boarding na ilikua ni mixture..boys na girls...kuna binti mmoja mrembo sana shuleni alikua anamaliza kidato cha sita yani ni mwaka wake wa mwisho na sisi newcomers form five tulibahatika kumkuta hapo.. basi huyo binti watoto wa o level waliokaa muda mrefu shuleni ambao ni boyz wakawa wamempachika jina wanamuita mpenzi jini..nilidhani ni sababu ya uzuri wake tu na nyimbo ya z-anto ndio ilikua inatamba sana kipindi hicho hivyo nikapuuzia..nlibahatika kupata ukiranja na eneo la kusimamia usafi nililopatiwa alikuemo yeye na sikuwahi kumuona akilifanyia usafi na sikuwahi kulikuta chafu..hakua na marafiki kwa sababu sikuwahi kumuona akiongozana na mtu yoyote shuleni kama best yake..sasa sijui huko mabwenini alala wapi na vipi.nikawa sijisikii vizuri kila siku namkosa kwenye eneo lake na sijawahi kumkuta na nlitamani sana hata nimuongeleshe si ushaelewa mtoto mkali.. basi nikatega kamtego siku kwenye eneo lake nikampa kakazi cha kubuni tu ambacho sijatumwa na yoyote kwamba eneo lake ni njia ya kwenda ofisi ya mkuu wa shule so maua fulani ya kitenge yatapendeza nikamwambi jioni nitamsaidia kupanda akakubali lakini kwa dharau sana alinionesha.. basi jioni nikawa charming sana mpaka nikamjua na jina lake na akanizoea.. sasa kisa kikaanza usiku huo baada ya kumzoea nikiwa usingizini nmelala bwenini kwangu nikaota yupo hapo pembeni ya kitanda changu akiniambia kamwe nisirudie kumsaidia kazi nimpe atajua anafnyaje mwenyewe..asabuhi nikapuuzia ndoto tu tukakutana foleni ya chai hii sio ndoto sasa akaniambia nadhani umenielewa nlichokwambia jana usiku. Nikashituka sana hadi nikajiuliza alikuja bwenini kweli au? Sasa muda wa kwenda asembly nikapita eneo lake yale maua tuliyopanda jana yake yalikua yameshaota na yamekua makubwa kitu ambacho hakiwezekani kabisa..tangu hapo nikawa naanza kumuogopa ila nikawa na kiununda fulani hivi najifariji kuwa labda network zangu kichwani hazisomi vizuri labda kuna jambo limenipita si unajua kuna muda unatafuta kasababu cha kujitia moyo. Nikaja piga story na madogo wa olevel kwanza wakanishangaa nimewezaje kuzungumza nae pili wakanisimulia visa vyake ambavyo nikadharau tu hawa madogo na shule yenyewe ya bush washamba maana kulikua na shida ya maji shule ilikuwa sehemu ya ukame ila hakuwahi kuonekana akihangaika na maji wala kuwa mchafu na mara zote alikua akinukia marashi tu..nkasema washamba hawa watoto.. kisa kikubwa zaidi kikafuata usiku uliofuata tumemaliza prepo nikamvizia wanapotoka madarasa yao kumuhoji huwa anafanya usafi eneo lake saa ngapi akanijibu anafanya usiku wa manane nkamuacha nikasepa mbioo.. usiku huo wa manane nikiwa mzima najitambua nlimuona dirishani kwangu just imagine bweni za boyz na hairuhusiwi girls kuwepo na ulinzi wote ule alifikaje pale. akaniambia huu ndio muda nafanya usafi na akatoweka sikulala usiku mzima nlijaribu kuamsha roomates walizidiwa nanusingizi hakuna alienisikiliza nkakesha mpaka asubhi nikajiandaa kwenda assembly nikiwa natetemeka maana lazima tuonane nankweli asubhi nikamkuta assembly na akaniangalia huku akitabasamu nliogopa sana nikaamua kukimbilia ofisi za taaluma zilipo jirani cha ajabu naingia ofisi ya hizo za taaluma namkuta tena humo ofisi yabi asemmbly yupo na taaluma yupo.. nlipioteza fahamu na nligoma kurudi shule kabisaa nliwasimulia walimu na wazazi na ikabidi nihamishwe tu shule ila shobo na kilanga viliniingiza chaka...lakini wenzangu woote wanamuona tu na hakuna aliyewahi kuwa na habari nae.. na kila mlipojaribu kufanya utafiti hakuna aliyrmzoea kabisa anaishi kivyake... hata walimu darasani hawajawahi muhoji au kumpa kazi yoyote na nlipowauliza walimu (hapo nikiwa nawenge hospitali) mnawezaje kufanya nae maswala ya kitaaluma shule walimu majibu yaoo hata siyaelewi wanasema tunamuona darasani tu na assembly na kazi zabdarasani anafanya ila hakuna aliyewahi kumuuliza maswali wala kushughulika naekielimu na hao walimu hawajui kwanini kila mtu shule hajawahi mtilia maanani huyo binti..waliniambia tu majina yake mawili ndio ikaishia hivyo.. mpaka sasa sijaelewa ni nini kilikua kinaendelea na binti yule pale shule
Du ilikuwa hatari.
 
Duuh,jina lake nani huyo binti??
 
Ulitaka kujionyesha kua wewe ni mtoto wa mjini, wenzio ni washamba
 
Dah imenikumbusha miaka ya 90s nikiwa Tabora wilaya moja hivi kijijini nikichukua elimu ya msingi shule yetu ilikuwa upande wa magharibi kuna makaburi halafu shule ina miti kibao ya mikaratusi,mikorosho mijohoro mizambarawe na miti fulani hivi inatoa ubani upepo ukipiga inavuma kama gari,

Dah nakumbuka hiyo siku niliamka kwenye kigheto changu pale home kama saa nane hivi mabalamwezi imekubali nje maana ilikuwa wiki ya mwalimu mmoja hivi kusimamia usafi na wechelewaji na ukichelewa unapata bakora za miguuni na lile baridi la kijijini balaa mwanaume mbalamwezi ile nikajua kumekucha nikanawa faster faster hata sikuwastua wazazi ambapo sio kawaida huwa lazima niwaamshe kwenye gheto lao mzee nikanyanyua ufagio mkononi na kidumu cha maji mbio kwenda kabla ya kufika shule kuna kipori fulani lazima ukipite ndio ufike shule mwanaume sikujari japo njiani sikuona mtu yeyote hiyo haikunistua mie nilijona mshindi leo nawahi namba shule,

aisee nimepita chini ya mikorosho na hiyo miti mingine bila kujari nahisi akili haikuwa yangu nakumbuka nafika shule nikakimbilia darasani nafika mlangoni nilichokishuhudia acha niliona moto mkubwa unawaka mule na kuna watu wamekaa kama wako kwenye kikao halafu wote wakaniangalia ila sura sikuziona hapo ndio akili ikarudi kwamba nimezingua niligeuka mbio kurudi home halafu ule upande wa makaburi nilishuhudia watu wakiwa na mguu mmoja wanaruka ruka kwa mstari mbio zangu nilikuwa nahisi kuna kitu nyuma kinanifata kugeuka nyuma niliona mtu mrefu sana kichwa hakionekani ila kavaa vazi refu linag'aa kama mbaramwezi ilivyokuwa inag'aa mwanaume niliongeza speed nilienda nikaingia na mlango mpk ndani yule jini sijui nini nilipokaribia nyumbani nilisikia msonyoo mmoja hatari sana wazazi wakaamka kufungua mlango kuja kunikuta sijitambui wakanichukua nikaenda kulala kwao asubuhi ndio kuwaelezea ni moja ya tukio ambalo huwa sipendi kabisa kulikumbuka maana baada ya hapo mpk leo kuna vitu huwa naviona ambavyo sio vya kawaida na niliwasumbua sana wazazi baada ya hapo . nimejaribu kufupisha ila kuna mambo mengi sana kwa ule usiku na miaka ile niliyashuhudia baada ya ilo tukio.
Pole sana Mkuu.
 
Hehee nmeona mmeelezea mmenipa courage ya kusimulia na mimi kisa cha ajabu ajabu kilichonitokea..(mtanisamehe sio muandishi mzuri) nlifanikiwa kusoma shule ya boarding na ilikua ni mixture..boys na girls...kuna binti mmoja mrembo sana shuleni alikua anamaliza kidato cha sita yani ni mwaka wake wa mwisho na sisi newcomers form five tulibahatika kumkuta hapo.. basi huyo binti watoto wa o level waliokaa muda mrefu shuleni ambao ni boyz wakawa wamempachika jina wanamuita mpenzi jini..nilidhani ni sababu ya uzuri wake tu na nyimbo ya z-anto ndio ilikua inatamba sana kipindi hicho hivyo nikapuuzia..nlibahatika kupata ukiranja na eneo la kusimamia usafi nililopatiwa alikuemo yeye na sikuwahi kumuona akilifanyia usafi na sikuwahi kulikuta chafu..hakua na marafiki kwa sababu sikuwahi kumuona akiongozana na mtu yoyote shuleni kama best yake..sasa sijui huko mabwenini alala wapi na vipi.nikawa sijisikii vizuri kila siku namkosa kwenye eneo lake na sijawahi kumkuta na nlitamani sana hata nimuongeleshe si ushaelewa mtoto mkali.. basi nikatega kamtego siku kwenye eneo lake nikampa kakazi cha kubuni tu ambacho sijatumwa na yoyote kwamba eneo lake ni njia ya kwenda ofisi ya mkuu wa shule so maua fulani ya kitenge yatapendeza nikamwambi jioni nitamsaidia kupanda akakubali lakini kwa dharau sana alinionesha.. basi jioni nikawa charming sana mpaka nikamjua na jina lake na akanizoea.. sasa kisa kikaanza usiku huo baada ya kumzoea nikiwa usingizini nmelala bwenini kwangu nikaota yupo hapo pembeni ya kitanda changu akiniambia kamwe nisirudie kumsaidia kazi nimpe atajua anafnyaje mwenyewe..asabuhi nikapuuzia ndoto tu tukakutana foleni ya chai hii sio ndoto sasa akaniambia nadhani umenielewa nlichokwambia jana usiku. Nikashituka sana hadi nikajiuliza alikuja bwenini kweli au? Sasa muda wa kwenda asembly nikapita eneo lake yale maua tuliyopanda jana yake yalikua yameshaota na yamekua makubwa kitu ambacho hakiwezekani kabisa..tangu hapo nikawa naanza kumuogopa ila nikawa na kiununda fulani hivi najifariji kuwa labda network zangu kichwani hazisomi vizuri labda kuna jambo limenipita si unajua kuna muda unatafuta kasababu cha kujitia moyo. Nikaja piga story na madogo wa olevel kwanza wakanishangaa nimewezaje kuzungumza nae pili wakanisimulia visa vyake ambavyo nikadharau tu hawa madogo na shule yenyewe ya bush washamba maana kulikua na shida ya maji shule ilikuwa sehemu ya ukame ila hakuwahi kuonekana akihangaika na maji wala kuwa mchafu na mara zote alikua akinukia marashi tu..nkasema washamba hawa watoto.. kisa kikubwa zaidi kikafuata usiku uliofuata tumemaliza prepo nikamvizia wanapotoka madarasa yao kumuhoji huwa anafanya usafi eneo lake saa ngapi akanijibu anafanya usiku wa manane nkamuacha nikasepa mbioo.. usiku huo wa manane nikiwa mzima najitambua nlimuona dirishani kwangu just imagine bweni za boyz na hairuhusiwi girls kuwepo na ulinzi wote ule alifikaje pale. akaniambia huu ndio muda nafanya usafi na akatoweka sikulala usiku mzima nlijaribu kuamsha roomates walizidiwa nanusingizi hakuna alienisikiliza nkakesha mpaka asubhi nikajiandaa kwenda assembly nikiwa natetemeka maana lazima tuonane nankweli asubhi nikamkuta assembly na akaniangalia huku akitabasamu nliogopa sana nikaamua kukimbilia ofisi za taaluma zilipo jirani cha ajabu naingia ofisi ya hizo za taaluma namkuta tena humo ofisi yabi asemmbly yupo na taaluma yupo.. nlipioteza fahamu na nligoma kurudi shule kabisaa nliwasimulia walimu na wazazi na ikabidi nihamishwe tu shule ila shobo na kilanga viliniingiza chaka...lakini wenzangu woote wanamuona tu na hakuna aliyewahi kuwa na habari nae.. na kila mlipojaribu kufanya utafiti hakuna aliyrmzoea kabisa anaishi kivyake... hata walimu darasani hawajawahi muhoji au kumpa kazi yoyote na nlipowauliza walimu (hapo nikiwa nawenge hospitali) mnawezaje kufanya nae maswala ya kitaaluma shule walimu majibu yaoo hata siyaelewi wanasema tunamuona darasani tu na assembly na kazi zabdarasani anafanya ila hakuna aliyewahi kumuuliza maswali wala kushughulika naekielimu na hao walimu hawajui kwanini kila mtu shule hajawahi mtilia maanani huyo binti..waliniambia tu majina yake mawili ndio ikaishia hivyo.. mpaka sasa sijaelewa ni nini kilikua kinaendelea na binti yule pale shule
Pole sana mkuu. Ila Nimecheka [emoji23]. Pole sana
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Aisee majini yapo bhasi
 
Mungu aliumba vitu vinavyoonekana na visivyoonekana. Na kwa Bahati nzuri akaweka kizuizi kwa kupitia uwezo wake wa kiungu hili tusiweze kushuhudia viumbe hivyo ambavyo havionekani kwa macho yetu ya kibinadamu isipokua kwa utaalamu flani wa mambo ya kiroho.

Viumbe hivyo vikiwemo , Malaika, Majini , Wachawi pamoja na viumbe vingine vya kutisha sana, ikiwemo wanyama wa ajabu wenye ukubwa wenye kutetemesha na kuogofya kwa wanadamu wa kawaida.

Danieli 7:4 “Wa kwanza alikuwa kama simba, naye alikuwa na mabawa ya tai; nikatazama, hata mabawa yake yakafutuka manyoya, akainuliwa katika nchi, akasimamishwa juu kwa miguu miwili kama mwanadamu; naye akapewa moyo wa kibinadamu.”

Danieli 8:3 “Ndipo nikainua macho yangu nikaona, na tazama, mbele ya mto alisimama kondoo mume, mwenye pembe mbili; na pembe zile mbili zilikuwa ndefu; lakini moja ilikuwa ndefu kuliko ya pili, na ile iliyokuwa ndefu zaidi ilizuka mwisho.”

Danieli 8:5 “Nami nilipokuwa nikifikiri, tazama, beberu akatoka upande wa magharibi, juu ya uso wa dunia nzima, bila kuigusa nchi; na beberu yule alikuwa na pembe mashuhuri kati ya macho yake.”

Danieli 7:6 “Kisha nikatazama, na kumbe! Mnyama mwingine, kama chui, naye juu ya mgongo wake alikuwa na mabawa manne kama ya ndege; mnyama huyo alikuwa na vichwa vinne; akapewa mamlaka.”

Wengi tukisoma Habari kama hizi za kuona simba mwenye vichwa vinne na miguu kama ya binadamu, beberu mwenye pembe kumi, nyoka mwenye vichwa saba na wanyama wengine wa kutisha, tunajipa moyo na kusema hiyo ni lugha tu ya biblia/ lugha ya picha hakuna viumbe kama hivyo. Ila ukweli ni kuwa viumbe hivyo vipo na vinaishi kwenye ulimwengu mwingine tofauti na huu wetu unaonekana. Na kuna binadamu wenzetu wameshashuhudia kabisa kwa macho yao.

Tuachane na hayo na turudi kwenye maada yetu ya leo . Tuzungumzie kuhusu mikasa ya kutisha ambayo tumewahi kukutana nayo kwenye ulimwengu huu ambayo kwa namna moja au nyingine vimekuacha midomo wazi na kukufanya uwe traumatized.

Ngoja nianze na mikasa / mambo ya kutisha niliyowahi kukutana nayo hapa duniani ambayo mpaka sasa hivi bado najiuliza kama ni viini macho au ni kweli , lakini ukweli unabaki kuwa ni kweli .

1. Jini kuchomoza baharini na kuelea hewani.

Nakumbuka ilikua ni usiku wa manane, nikiwa kwenye harakati za ushikirikina Uko sehem( sipendi kutaja jina). Nikiwa na mganga akiendelea kufanya mambo ya kishirikina baharini, Ambapo alisema anaita kiumbe( jini) hili anitimizie haja zangu . Kwa akili yangu nilijua tu ni danganya toto, hakuna lolote. Baada ya kama dakika 45 za yule mganga kufanya ushirikina wake. Ghafla akatokea mwanamke mrefu tofauti na urefu wetu wa kawaida wa binadamu alikua baharini anaelea tu, miguu haionekani kwa kweli nilikimbia, Bahati nzuri wale wasaidizi wa mganga wakanikamata kunizuia nisikimbie. Uzuri hakua anatisha wala nini, alikua tu ni mwanamke wa kawaida ingawa alikua na urefu usio na kawaida, na alikua kakasirika sana, alikua analalamika tunamuita sana tuna shida gani.....

2. Niliwahi kushuhudia kwa macho yangu , binadamu akiwa nusu mtu , nusu simba, Ana sura ya kutisha sana , mbaya mfano hakuna, ilibaki kidogo tu nizimie.

3. Binadamu mfupi kama stuli, Ana ndevu nyingi mpaka chini na alikua na mguu mmoja tu , na macho yake yanawaka moto.

4. Mzimu wa mtu maarufu ambaye alikufa miaka mingi iliyopita.

Hii ndo mikasa ya kutisha niliyowahi kukutana nayo hapa duniani, ambayo kiukweli mpaka leo inanipa shida sana, na ilichukua miaka kadhaa mpaka kuweza kukubali hii hali mpaka kufikia kuzoea kidogo. Ila hapa duniani kuna viumbe vya ajabu mno, na kama ukitaka kuviona unaweza.

View attachment 1430585

Sent from my iPhone using JamiiForums
Si kweli.Mambo ya kufikirika ukiyazingatia Sana hugeuka kuwa kweli.Ni hisia

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Hehee nmeona mmeelezea mmenipa courage ya kusimulia na mimi kisa cha ajabu ajabu kilichonitokea..(mtanisamehe sio muandishi mzuri) nlifanikiwa kusoma shule ya boarding na ilikua ni mixture..boys na girls...kuna binti mmoja mrembo sana shuleni alikua anamaliza kidato cha sita yani ni mwaka wake wa mwisho na sisi newcomers form five tulibahatika kumkuta hapo.. basi huyo binti watoto wa o level waliokaa muda mrefu shuleni ambao ni boyz wakawa wamempachika jina wanamuita mpenzi jini..nilidhani ni sababu ya uzuri wake tu na nyimbo ya z-anto ndio ilikua inatamba sana kipindi hicho hivyo nikapuuzia..nlibahatika kupata ukiranja na eneo la kusimamia usafi nililopatiwa alikuemo yeye na sikuwahi kumuona akilifanyia usafi na sikuwahi kulikuta chafu..hakua na marafiki kwa sababu sikuwahi kumuona akiongozana na mtu yoyote shuleni kama best yake..sasa sijui huko mabwenini alala wapi na vipi.nikawa sijisikii vizuri kila siku namkosa kwenye eneo lake na sijawahi kumkuta na nlitamani sana hata nimuongeleshe si ushaelewa mtoto mkali.. basi nikatega kamtego siku kwenye eneo lake nikampa kakazi cha kubuni tu ambacho sijatumwa na yoyote kwamba eneo lake ni njia ya kwenda ofisi ya mkuu wa shule so maua fulani ya kitenge yatapendeza nikamwambi jioni nitamsaidia kupanda akakubali lakini kwa dharau sana alinionesha.. basi jioni nikawa charming sana mpaka nikamjua na jina lake na akanizoea.. sasa kisa kikaanza usiku huo baada ya kumzoea nikiwa usingizini nmelala bwenini kwangu nikaota yupo hapo pembeni ya kitanda changu akiniambia kamwe nisirudie kumsaidia kazi nimpe atajua anafnyaje mwenyewe..asabuhi nikapuuzia ndoto tu tukakutana foleni ya chai hii sio ndoto sasa akaniambia nadhani umenielewa nlichokwambia jana usiku. Nikashituka sana hadi nikajiuliza alikuja bwenini kweli au? Sasa muda wa kwenda asembly nikapita eneo lake yale maua tuliyopanda jana yake yalikua yameshaota na yamekua makubwa kitu ambacho hakiwezekani kabisa..tangu hapo nikawa naanza kumuogopa ila nikawa na kiununda fulani hivi najifariji kuwa labda network zangu kichwani hazisomi vizuri labda kuna jambo limenipita si unajua kuna muda unatafuta kasababu cha kujitia moyo. Nikaja piga story na madogo wa olevel kwanza wakanishangaa nimewezaje kuzungumza nae pili wakanisimulia visa vyake ambavyo nikadharau tu hawa madogo na shule yenyewe ya bush washamba maana kulikua na shida ya maji shule ilikuwa sehemu ya ukame ila hakuwahi kuonekana akihangaika na maji wala kuwa mchafu na mara zote alikua akinukia marashi tu..nkasema washamba hawa watoto.. kisa kikubwa zaidi kikafuata usiku uliofuata tumemaliza prepo nikamvizia wanapotoka madarasa yao kumuhoji huwa anafanya usafi eneo lake saa ngapi akanijibu anafanya usiku wa manane nkamuacha nikasepa mbioo.. usiku huo wa manane nikiwa mzima najitambua nlimuona dirishani kwangu just imagine bweni za boyz na hairuhusiwi girls kuwepo na ulinzi wote ule alifikaje pale. akaniambia huu ndio muda nafanya usafi na akatoweka sikulala usiku mzima nlijaribu kuamsha roomates walizidiwa nanusingizi hakuna alienisikiliza nkakesha mpaka asubhi nikajiandaa kwenda assembly nikiwa natetemeka maana lazima tuonane nankweli asubhi nikamkuta assembly na akaniangalia huku akitabasamu nliogopa sana nikaamua kukimbilia ofisi za taaluma zilipo jirani cha ajabu naingia ofisi ya hizo za taaluma namkuta tena humo ofisi yabi asemmbly yupo na taaluma yupo.. nlipioteza fahamu na nligoma kurudi shule kabisaa nliwasimulia walimu na wazazi na ikabidi nihamishwe tu shule ila shobo na kilanga viliniingiza chaka...lakini wenzangu woote wanamuona tu na hakuna aliyewahi kuwa na habari nae.. na kila mlipojaribu kufanya utafiti hakuna aliyrmzoea kabisa anaishi kivyake... hata walimu darasani hawajawahi muhoji au kumpa kazi yoyote na nlipowauliza walimu (hapo nikiwa nawenge hospitali) mnawezaje kufanya nae maswala ya kitaaluma shule walimu majibu yaoo hata siyaelewi wanasema tunamuona darasani tu na assembly na kazi zabdarasani anafanya ila hakuna aliyewahi kumuuliza maswali wala kushughulika naekielimu na hao walimu hawajui kwanini kila mtu shule hajawahi mtilia maanani huyo binti..waliniambia tu majina yake mawili ndio ikaishia hivyo.. mpaka sasa sijaelewa ni nini kilikua kinaendelea na binti yule pale shule
Ni balaa
 
Ngoja namimi nisimulie changu kifupi kidogo, ni huko huko maeneo ya shule za Boarding school,

Nipo form four tupo tunasoma prepo( hii ni kujisomea usiku yani) lakin hapo sisi ni ile prepo ya kuanzia sa 5 usiku hadi sa 7, sasa hapo madogo wengine wa madarasa ya chini wameshakwenda kulala tumebak form 4 tu, sasa kuna manz mmoja alikuwa ni mzuri sana anatokea Dom alaf pia ni kichwa class ( ndio mwenye tukio)

Napiga zangu Doria hapo nimechoka kusoma nakuta darasa moja watu wanafanya maombi ile kama wanakemea mapepo alaf wamewasha mishumaa (school yetu tulikuwa tunatumia generator so madarasa mengine umeme ulikuwa aufiki) sasa namimi nikaingia kulikuwa na washikaji wawili walokole wa shulen hapo na demu mmoja mlokole pia na huyo manzi mkali ndio kaweka kati anaombewa sasa kwenye kuombewa nikashuudia kwa macho yangu anatapika kucha kavu yani kucha zinamtoka mdomon baadae nywele zikawa zinamtoka pia.

Daaahh aiseeee baadae wakamchukua wakamsindikiza bwenini nakumbuka siku mbili baadae ndio nikawauliza wale waliokuwa wanamuombea mmoja akanijib ni miujiza, sikumuulizaga yule manZi kwasabab sikutaka ajifikkrie vbaya maana ndio maana ilikuwa inafanyika kisiriri kwenye kumuombea.
 
Ngoja namimi nisimulie changu kifupi kidogo, ni huko huko maeneo ya shule za Boarding school,

Nipo form four tupo tunasoma prepo( hii ni kujisomea usiku yani) lakin hapo sisi ni ile prepo ya kuanzia sa 5 usiku hadi sa 7, sasa hapo madogo wengine wa madarasa ya chini wameshakwenda kulala tumebak form 4 tu, sasa kuna manz mmoja alikuwa ni mzuri sana anatokea Dom alaf pia ni kichwa class ( ndio mwenye tukio)
Napiga zangu Doria hapo nimechoka kusoma nakuta darasa moja watu wanafanya maombi ile kama wanakemea mapepo alaf wamewasha mishumaa (school yetu tulikuwa tunatumia generator so madarasa mengine umeme ulikuwa aufiki) sasa namimi nikaingia kulikuwa na washikaji wawili walokole wa shulen hapo na demu mmoja mlokole pia na huyo manzi mkali ndio kaweka kati anaombewa sasa kwenye kuombewa nikashuudia kwa macho yangu anatapika kucha kavu yani kucha zinamtoka mdomon baadae nywele zikawa zinamtoka pia. Daaahh aiseeee baadae wakamchukua wakamsindikiza bwenini nakumbuka siku mbili baadae ndio nikawauliza wale waliokuwa wanamuombea mmoja akanijib ni miujiza, sikumuulizaga yule manZi kwasabab sikutaka ajifikkrie vbaya maana ndio maana ilikuwa inafanyika kisiriri kwenye kumuombea.
Kudadeq.......ungemla kimasihara
 
Back
Top Bottom