Njoo tusimualiane Mambo ya kutisha/kuogopesha uliyowahi kushuhudia hapa Duniani

Amna Sema kwetu pande izo so najua
Mi mwenyeji wa Newala japo nina asili ya michiga kule masasi na ni kabila la mmakua kama jina langu hapo.

Nmesoma Karume primary, nikaingia Newala day secondary ndo nikahamia mjini Daslam Chuo na sasa maisha ni Daslam ila kazi Arusha
 
Pemba! Shkamoo Pemba!

Niliopoa ustadhati mmoja maeneo ya Limbani, Wete, huko Kaskazini Pemba.
Nakumbuka ilikuwa mwaka 2015 kipindi ambacho nilikuwa kileleni katika ulevi wangu wa pombe.

Nikampa lift kwa kagari Kangu Spacio alikuwa anaelekea kakijiji fulani hivi kapo mbele ya Finya, nimekasahau jina maana imepita miaka8 toka niondoke huko kurejea Unguja.

Sasa bhana njiani nilikapiga sound nikatie mshedede kakakubali kilaini bila hata kutumia nguvu nyingi. Mbele kidogo ya Finya kabla hujafika roundabout flani hivi nikapaki gari kando kidogo ya barabara

Tukahamia sit ya nyuma halafu sit za mbele nikazisogeza mbele ili ipatikane nafasi ya kutosha kumtia mtulinga huku nyuma.

Tuka-undress wote, mtoto akanyonya mshedede vya kutosha nikamfanyia yangu na mimi kisha nikamsugua mbususu vya kutosha maana kichwani nilikuwa nyagi ya kutosha coz nilikuwa nimetoka viwanja maeneo ya fourteen huko Chake.

Kusema kweli ile mbususu ilikuwa tamu sijawahi kuonja kama ile, ukichanganya mautuli mtoto alikuwa ananukia hatari, niliinjoy.

Kimbembe sasa kinakuja tumemaliza kula mbususu kidume nimevaa nikashuka kuhamia sit ya mbele nimsogeze kwao ile tu nafungua mlango wa mbele naingia mara mtu hayupo! Mh! Bado pombe haikati kichwani nini? Au na yeye anafungua mlango wa mbele pia? Mbona simuoni? Utani huu wanangu, au naota?

Nikashuka calmly nikazunguka upande wa abiria, mtu hayupo! Nikafungua mlango wa nyuma, empty! Kashuka kakimbia? Saa ngapi? Kwa sababu gani? Kwa wepesi gani huo jamani? Nilifungua mpaka buti!

Hivi kweli saa2.30 usiku mnaweza kunifanyia hivi ndugu zangu wapemba? Niliogopa lakini nikajipa moyo, nikageuza gari huyoooo Wete, nikaenda moja kwa moja police Mess, nikakata kwanza viroba viwili chap chap, kisha nikaagiza bapa langu nikaendelea kumwagilia moyo taratibu.

Ule usiku kama sio kulala na mapombe kichwani ungekuwa mgumu sana kwangu.

Siwezi sema alikuwa roho mchafu yule bint au alikuwa kweli ni binadam ila ndo kilichotokea
 
Mi mwenyeji wa Newala japo nina asili ya michiga kule masasi na ni kabila la mmakua kama jina langu hapo.

Nmesoma Karume primary, nikaingia Newala day secondary ndo nikahamia mjini Daslam Chuo na sasa maisha ni Daslam ila kazi Arusha
Masasi ndio home
 
Umenitisha silali Tena sitoki kukojoa leo
 
Noma kweli!
 
Hii inachekesha jamani[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mm pia ni mkazi wa Dodoma na ningependa kufahamu ni eneo lipi ambalo kulitokea mkasa huu?
 
Niliwahi kukimbizwa na mtu yupo uchi akiwa ns fisi.

Zaman kidogo nilienda kijijini kwa babu yangu likizo sasa kule kijijini ikifika jion vijana na wazee hupenda kwenda sehem fulan iliyochangamka hapo kijijini, sasq kutoka hom mpka kule kuna umbali kidogo alafu unavuka mto.

Tulienda na ndugu zangu mida ya saa 2 kufika karibu na mto tukamuona mtu akiwa na fisi tulikimbia kurudi hom yule mtu alikua uchi akatuungishia mimi ndo niliku nyuma namuona karibu yangu. Nilikua nakimbia huku napiga kelele wenzangu wanakimbia kimya kimya sijui hata nilifikaje hom kuanzia siku hiyo sikutoka tena mpaka leo sisahau yule mchawi kabisa
 
Nikiwa na umri mdogo kama miaka 15-17 hivi Niliwahi kwenda msibani na shangazi yangu. Kipindi hicho naishi kwake. Tulipofika yeye alielekea kwa wamama (wanawake wenzake) kuendelea na shughuli za jikoni na mambo mengine ya akina mama, mimi nikabaki nje ila maeneo hayo hayo ya msibani.

Nikiwa nimejitenga mbali kidogo na watu alikuja mbaba mmoja sio mkubwa sana na wala sio mzee akakaa nami, alionekana kuhuzunishwa sana na ule msiba. Nilimuamkia akaitika alafu kila mtu akawa kimya.

Baada ya dakika chache akanambia "Kijana, wewe bado mdogo sana. Ukipata nafasi ya kufurahia maisha furahia kadri uwezavyo" nikamwambia "sawa". Wala sikumuelewa ila sikusema neno lengine.

Baada ya muda mwili ukafika na watu wakaanza kuaga, nikasubiri ilivyofika zamu ya watu wengine nami nikaenda kuaga.

Yule mbaba alienambia nifurahie maisha ndo yule alikuwa amelala kwenye jeneza. Oya asikwambie mtu, jasho lilinitoka balaa. Kidogo nianguke mtu wa nyuma yangu akanishika kunisogeza pembeni.

Tulivyorudi nyumbani katika kumuuliza muuliza shangazi akanambia marehemu ana pacha wake na wanafanana balaa. Hata msibani pia alikuwepo. Lakini mbona wakati wa kuaga sikumuona? Mbona aniambie maneno yale?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mmmh hatari
 
Kuwa makini mkuu, isije tokea ukashangaa ule uzi wa kimasikhara unaona mtu anakuelezea wewe 😀
 
Kuna dereva fulani wa kanisa fulani alishatoaga ushuhuda jinsi mambo ya uchawi na huo ulimwengu mwingine unavofanya kazi.
Ni kwa kwamba kwa mtu ambae huna connection na huo ulimwengu, mean hujawahi lishwa wala kupewa ama kuunganishwa na hayo madawa huna uwezo wa kutambua ama kuona kinachoendelea kwene huo ulimwengu.
Alienda mbali zaidi na kusema hata hao wachawi huwa ni ngumu kukuchawia kama huna connection na huo ulimwengu wao.
So iyo yaweza kuwa sababu kwa nini hujawahi ona ayo mauza uza wanayodai wengine kuona

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…