MMAKUHA
Member
- Oct 21, 2021
- 54
- 124
Nikipata wasaa kuna moja nitasimulia hiyo tulikua Dar wakati niko chuo yeye alikuja kwenye kazi zake noma [emoji3]Jamaa na story za ank yaelekea ni nyingi na nzuri tupe basi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nikipata wasaa kuna moja nitasimulia hiyo tulikua Dar wakati niko chuo yeye alikuja kwenye kazi zake noma [emoji3]Jamaa na story za ank yaelekea ni nyingi na nzuri tupe basi
Mi mwenyeji wa Newala japo nina asili ya michiga kule masasi na ni kabila la mmakua kama jina langu hapo.Amna Sema kwetu pande izo so najua
Jamaa hatuko nae?Rip ndugu yetu huyu
Masasi ndio homeMi mwenyeji wa Newala japo nina asili ya michiga kule masasi na ni kabila la mmakua kama jina langu hapo.
Nmesoma Karume primary, nikaingia Newala day secondary ndo nikahamia mjini Daslam Chuo na sasa maisha ni Daslam ila kazi Arusha
Umenitisha silali Tena sitoki kukojoa leoDah imenikumbusha miaka ya 90s nikiwa Tabora wilaya moja hivi kijijini nikichukua elimu ya msingi shule yetu ilikuwa upande wa magharibi kuna makaburi halafu shule ina miti kibao ya mikaratusi,mikorosho mijohoro mizambarawe na miti fulani hivi inatoa ubani upepo ukipiga inavuma kama gari,
Dah nakumbuka hiyo siku niliamka kwenye kigheto changu pale home kama saa nane hivi mabalamwezi imekubali nje maana ilikuwa wiki ya mwalimu mmoja hivi kusimamia usafi na wechelewaji na ukichelewa unapata bakora za miguuni na lile baridi la kijijini balaa mwanaume mbalamwezi ile nikajua kumekucha nikanawa faster faster hata sikuwastua wazazi ambapo sio kawaida huwa lazima niwaamshe kwenye gheto lao mzee nikanyanyua ufagio mkononi na kidumu cha maji mbio kwenda kabla ya kufika shule kuna kipori fulani lazima ukipite ndio ufike shule mwanaume sikujari japo njiani sikuona mtu yeyote hiyo haikunistua mie nilijona mshindi leo nawahi namba shule,
aisee nimepita chini ya mikorosho na hiyo miti mingine bila kujari nahisi akili haikuwa yangu nakumbuka nafika shule nikakimbilia darasani nafika mlangoni nilichokishuhudia acha niliona moto mkubwa unawaka mule na kuna watu wamekaa kama wako kwenye kikao halafu wote wakaniangalia ila sura sikuziona hapo ndio akili ikarudi kwamba nimezingua niligeuka mbio kurudi home halafu ule upande wa makaburi nilishuhudia watu wakiwa na mguu mmoja wanaruka ruka kwa mstari mbio zangu nilikuwa nahisi kuna kitu nyuma kinanifata kugeuka nyuma niliona mtu mrefu sana kichwa hakionekani ila kavaa vazi refu linag'aa kama mbaramwezi ilivyokuwa inag'aa mwanaume niliongeza speed nilienda nikaingia na mlango mpk ndani yule jini sijui nini nilipokaribia nyumbani nilisikia msonyoo mmoja hatari sana wazazi wakaamka kufungua mlango kuja kunikuta sijitambui wakanichukua nikaenda kulala kwao asubuhi ndio kuwaelezea ni moja ya tukio ambalo huwa sipendi kabisa kulikumbuka maana baada ya hapo mpk leo kuna vitu huwa naviona ambavyo sio vya kawaida na niliwasumbua sana wazazi baada ya hapo . nimejaribu kufupisha ila kuna mambo mengi sana kwa ule usiku na miaka ile niliyashuhudia baada ya ilo tukio.
Wacha woga wewe sijui ni mwanaume au mwanamke. Yupo aliye mlinzi na mfalme wa wafalme naye ni Yesu Kristo. Yeye ndiye amani yetuUmenitisha silali Tena sitoki kukojoa leo
Hahahaha pole mkuuUmenitisha silali Tena sitoki kukojoa leo
Noma kweli!Pemba! Shkamoo Pemba!
Niliopoa ustadhati mmoja maeneo ya Limbani, Wete, huko Kaskazini Pemba.
Nakumbuka ilikuwa mwaka 2015 kipindi ambacho nilikuwa kileleni katika ulevi wangu wa pombe.
Nikampa lift kwa kagari Kangu Spacio alikuwa anaelekea kakijiji fulani hivi kapo mbele ya Finya, nimekasahau jina maana imepita miaka8 toka niondoke huko kurejea Unguja.
Sasa bhana njiani nilikapiga sound nikatie mshedede kakakubali kilaini bila hata kutumia nguvu nyingi. Mbele kidogo ya Finya kabla hujafika roundabout flani hivi nikapaki gari kando kidogo ya barabara
Tukahamia sit ya nyuma halafu sit za mbele nikazisogeza mbele ili ipatikane nafasi ya kutosha kumtia mtulinga huku nyuma.
Tuka-undress wote, mtoto akanyonya mshedede vya kutosha nikamfanyia yangu na mimi kisha nikamsugua mbususu vya kutosha maana kichwani nilikuwa nyagi ya kutosha coz nilikuwa nimetoka viwanja maeneo ya fourteen huko Chake.
Kusema kweli ile mbususu ilikuwa tamu sijawahi kuonja kama ile, ukichanganya mautuli mtoto alikuwa ananukia hatari, niliinjoy.
Kimbembe sasa kinakuja tumemaliza kula mbususu kidume nimevaa nikashuka kuhamia sit ya mbele nimsogeze kwao ile tu nafungua mlango wa mbele naingia mara mtu hayupo! Mh! Bado pombe haikati kichwani nini? Au na yeye anafungua mlango wa mbele pia? Mbona simuoni? Utani huu wanangu, au naota?
Nikashuka calmly nikazunguka upande wa abiria, mtu hayupo! Nikafungua mlango wa nyuma, empty! Kashuka kakimbia? Saa ngapi? Kwa sababu gani? Kwa wepesi gani huo jamani? Nilifungua mpaka buti!
Hivi kweli saa2.30 usiku mnaweza kunifanyia hivi ndugu zangu wapemba? Niliogopa lakini nikajipa moyo, nikageuza gari huyoooo Wete, nikaenda moja kwa moja police Mess, nikakata kwanza viroba viwili chap chap, kisha nikaagiza bapa langu nikaendelea kumwagilia moyo taratibu.
Ule usiku kama sio kulala na mapombe kichwani ungekuwa mgumu sana kwangu.
Siwezi sema alikuwa roho mchafu yule bint au alikuwa kweli ni binadam ila ndo kilichotokea
Hii inachekesha jamani[emoji23][emoji23][emoji23]Kaka mtoto wa mama mkubwa alienda kutandika kitanda baada ya kula usiku waende kulala.Pembeni ya nyumba yao kulikua na msufi mkuuuuuuuubwa ndio mti mkubwa zaidi pale kijijini.
Alipoenda kutandika hakurudi tena hadi saa linapita mtu hatoki ndani, kwenda kumtafuta hayupo! Walimuwinda nyumba nzima hawamuoni karibia masaa 3 nyumba yote hawaoni mtoto. Baadae walimuona chini ya meza ya kula (ndogo tu) kajikunyata hawesi kuongea. Wakampeleka kwa mganga usiku huo huo kafanyiwa dawa ndio akaanza kuongea kua kuna kitu kilimchukua kikampeleka ndani ya huo msufi.
Tumewangiwa utotoni kinoma noma..ilibidi mama ahamishe kitanda tulale chumbane mwake. Alikua akiwasha kibatali aone vizuri ndani anaona kiganja kinazima kibatali.
Wachawi waliniiba wakanitoa chumbani wanipeleka kunilaza chini ya mtungi..kwenye kona la nyumba. Walinipata asubuhi nikiwa nimesinzia nimefunikwa ushungi kama mtoto mchanga.
RIP kuna mbwa wetu alikua anapambana nao usiku wakamuuua
Mm pia ni mkazi wa Dodoma na ningependa kufahamu ni eneo lipi ambalo kulitokea mkasa huu?Nakumbuka Miaka ya tisini mwishoni mkoani Dodoma, kuna kituko kiliwahi tokea na mimi nilikua shuhuda kulikua na mzee mmoja alimuacha mkewe akaamua kuishi na mke mwingine, yule mke aliyechwa hakufurahi ile hali akaamua kwenda kwa sangoma aisee!
Ile nyumba ilikua haikaliki maana mmewe na huyo mke mpya kila siku walikua wanachezea viboko, pia mawe yalikua yanarushwa juu ya bati mfululizio na hayakujulikana yanatoka wapi, ila yakidondoka chini yanageuka kuwa kinyesi cha binadamu, vyombo kabatini vilikua vinatikisika mwanzo mwisho na aliyekua akivitingisha hajulikani.
Baada ya mauzauza kuwa mengi waliita mashekhe wapige duwa ila wapi haikusaidia, ikabidi waikimbie ile nyumba, ile nyumba ilikaa kama miaka zaidi ya 12 bila mtu kuishi, hadi yule mzee mwenye nyumba alipofariki mwaka 2014 ikabidi watoto wake waiuze, mtu aliyeinunua aliibomoa yote (kwavile ilikua imechakaa) akajenga nyumba mpya, kuna nduguyng yeye bado yupo Dom aliniambia tangu imeuzwa hakuna mauzauza yaliyotoke.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Niliwahi kukimbizwa na mtu yupo uchi akiwa ns fisi.
Zaman kidogo nilienda kijijini kwa babu yangu likizo sasa kule kijijini ikifika jion vijana na wazee hupenda kwenda sehem fulan iliyochangamka hapo kijijini, sasq kutoka hom mpka kule kuna umbali kidogo alafu unavuka mto.
Tulienda na ndugu zangu mida ya saa 2 kufika karibu na mto tukamuona mtu akiwa na fisi tulikimbia kurudi hom yule mtu alikua uchi akatuungishia mimi ndo niliku nyuma namuona karibu yangu. Nilikua nakimbia huku napiga kelele wenzangu wanakimbia kimya kimya sijui hata nilifikaje hom kuanzia siku hiyo sikutoka tena mpaka leo sisahau yule mchawi kabisa
Mmmh hatariNikiwa na umri mdogo kama miaka 15-17 hivi Niliwahi kwenda msibani na shangazi yangu. Kipindi hicho naishi kwake. Tulipofika yeye alielekea kwa wamama (wanawake wenzake) kuendelea na shughuli za jikoni na mambo mengine ya akina mama, mimi nikabaki nje ila maeneo hayo hayo ya msibani.
Nikiwa nimejitenga mbali kidogo na watu alikuja mbaba mmoja sio mkubwa sana na wala sio mzee akakaa nami, alionekana kuhuzunishwa sana na ule msiba. Nilimuamkia akaitika alafu kila mtu akawa kimya.
Baada ya dakika chache akanambia "Kijana, wewe bado mdogo sana. Ukipata nafasi ya kufurahia maisha furahia kadri uwezavyo" nikamwambia "sawa". Wala sikumuelewa ila sikusema neno lengine.
Baada ya muda mwili ukafika na watu wakaanza kuaga, nikasubiri ilivyofika zamu ya watu wengine nami nikaenda kuaga.
Yule mbaba alienambia nifurahie maisha ndo yule alikuwa amelala kwenye jeneza. Oya asikwambie mtu, jasho lilinitoka balaa. Kidogo nianguke mtu wa nyuma yangu akanishika kunisogeza pembeni.
Tulivyorudi nyumbani katika kumuuliza muuliza shangazi akanambia marehemu ana pacha wake na wanafanana balaa. Hata msibani pia alikuwepo. Lakini mbona wakati wa kuaga sikumuona? Mbona aniambie maneno yale?
Kuwa makini mkuu, isije tokea ukashangaa ule uzi wa kimasikhara unaona mtu anakuelezea wewe 😀Haha dah mmenikumbusha mbali kipind hiko tumehama maeneo ya mjini tumehamia mbali n mji kidogo mzee alijenga huko hiyo sehm palikuw hakun nyumba nying n kuna nyumba za udongo pia na wazawa wa hapo.
Kimbembe kukaribishwa hiyo sehm kila siku ikifika usiku hali aielewek mambo tofaut yanatokea bila kitegemea unawez kumuon bibi room kwko hujui kaingia vp kam kivuli ukiwash taa humuoni tena alikuw anatoka mpk chandarua anawek pembeni [emoji23][emoji23]
Hii siku sitokuja kusahau siku nimelala room alone nimeshtuka usngzn nahisi kabs mtu ananipapas matak* niligeuka n ngumi naon hakun mtu nilidata kwa nzia siku hiyo nalala naangalia mabati. [emoji28]
Kuna dereva fulani wa kanisa fulani alishatoaga ushuhuda jinsi mambo ya uchawi na huo ulimwengu mwingine unavofanya kazi.Sijawahi ona kiumbe Cha ajabu wala kuhisi sijui minyato ya kichawi au uchawi hapana kabisa!.. hii inanifanya hata niwe mgumu kuuamini huo ulimwengu! Japo nimekuwa muda mwengine mzururaji sometimes maeneo hatarishi ambayo wengine huogopa lkn binafsi hakuna la ajabu nililoliona!.. yanayonitokea ni matukio ya kawaida kabisa ila Kuna baadhi yanaleta utata ila sio utata wenye kunifanya niamini kuwa kuna walakini!!
Mfano kuna mahali palikuwa panasemekana kuwa huwa kuna sijui majini ama mizimu ila kuna miti ya miembe na mapera,siku moja nipo mi najamaa fulani ktk pitapita tukakuta mti wa mpera tukaanza kuchuma lkn sio kwa kupanda punde tukiwa tunachuma aliongezeka kijana mwengine Sasa utata baada ya kuondoka Yule kijana ndo tukaanza kujiuliza alitokea wapi!!
Maana kipindi anakuja hatukumuona! Si tulishangaa tu tupo watatu nae anachuma mapera lkn chengine alichotutatanisha ni ni maswali yake juu ya ule mpera na hata sikumbuki Kama alichuma hata!!
Swala la kutokumuona alivyokuja nililivunjilia mbali maana kibarabara tulikuwa bize kutafuta mapera wahuni[emoji23]
Na apotelea pote huko tukio lake halina mantiki..
Sijui nini kitakuja nifanya niamini haya mambo ila mi nachohisi kitu usipokiweka bayana nawe kukuzingua au kujionyesha mbele yako kina nafasi ndogo Sana ya kujionyesha..
Na mnaona hayo mambo na muone siku nikishuhudia huo ulozi kwa sababu ya kimantiki iliyoshiba nitakuja kusimulia humu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kanole alikuwa hasemi kitu aiseee... Kuna yule mweusi mrefu hiviii alikuwa anapenda kusema Ngurutuu mnaharisha sababu mnakulaaa maviiiii....[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]