Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,774
- 47,866
umesema vyema,mimi ni mmoja wa watu hao,nimewahi kuona wachawi usiku,mchawi akija nikiwa ndotoni kuna ndoto fulani ni ngumu kuieleza huwa naiotaKuna binadamu wamepewa uwezo wa kung'amua vitu na kuna wengine katika ulimwengu wa kiroho ni vipofu wasioona kitu chochote. Macho yao yamefungwa. Sikumbuki vizuri ila katika biblia kuna mtume mmoja walizingirwa na maadui lakini hakuonesha wasi wasi wowote. msaidizi wake akamwambia sasa tunauwawa. Yeye akajibu ondoa wasiwasi tunaulinzi yule akashangaa ulinzi u wapi. Ndipo yule mtume akamfungua macho yule mtumishi akaona jeshi kubwa la malaika limewazunguka. Ndipo wasiwasi ukaondoka. wanaojua Biblia watasema ni nani. Nilitaka tu kukwambia haya mambo ni ktk roho. uwezi yaona mpaka uwe katika ulimwengu wa rohoni. Majini, Malaika uwezi waona kwa macho ya nyama. Kuna watu wanazaliwa wananguvu maalum za kiroho. Haya mambo yapo!
story ni ndefu sana lakini kwa ufupi, kuna siku nilikuwa nimelala wakati nipo darasa la nne,ghafla nikastuka kutoka usingizini na kusikia sauti ya watu wanaimba,nilipotazama vizuri (kulikuwa na taa ya umeme) nikawaona hao wachawi na wakapotea ghafla
juzi kati mida ya saa tano usiku tupo Home tunapiga stories huku mlango ukiwa wazi nikaona kivuli cha mtu kama kile cha ukitembea juani kinatembea usiku